From JF to Me!

From JF to Me!

Hope sijachelewa saana.....Happy birthday Filipo...Like you saaana
 
Halafu siku zote wabishi wa hivi wanakuwaga watamu kweli hata sijui kwa nini tu,Kamanda Filipo Komaa kaka...Ukichelewa nitamuomba babu Asprin anikabidhi mikoba ya ukaguzi

mbona unanigeuka tena best? Mimi nilifikiri unaniunga kiuno katika kampeni hii ya kupinga ukaguzi juu yangu, kumbe wewe unasupport tena
 
Last edited by a moderator:
mbona unanigeuka tena best? Mimi nilifikiri unaniunga kiuno katika kampeni hii ya kupinga ukaguzi juu yangu, kumbe wewe unasupport tena

Besti hata siku moja mimi siwezi kumsupport Filipo na hata siku moja siwezi kukugeuka wewe best,tuwe pamoja tu kwanza kakimbilia wapi huyu Filipo...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom