From series msimu wa 3 umetoka

Umesahau Ethan alimwambia huwezi kubadili story ambayo imeshaongelewa, sijui watafanyaje ili kutuonesha otherwise ila combination ya Jade, Tabitha na Jimmy ilikua inaenda kuwatoa Fromville ndio maana Man in Yellow akaingilia kati
Exactly 💯 ngoja tuone msimu ujao aisee ila yule dogo Ethan ana akili sana
 
Sasa hivi tuna Boy in White (BIW) na
Man in Yellow (MIY)
Sema hicho kizee kitasumbua sana ssn 4
Man in yellow ni kama opposite ya boy in white. Wakati boy in white anataka kusaidia code ya kumaliza mchezo, huyu man in yellow yeye anazidizi kuwamanipulate wanajikuta wana mambo mengi halafu hawafanikiwi.

Season zote mission zake anazipiga behind the scene, season 4 atakuja front na ndie atakua villain. Navuta picha sijui watadili nae vipi maana mzee hata mchana anaingia street tu tofauti na wale wengine wao mpaka usiku
 
Mimi namuwazia Boyd ataweza kutoka kweli kule bila kushtukiwa? wasije wakamhold, pia nakumbuka Victor alisema many people will die kama ilivyotokea kipindi yupo mdogo na akasisitiza kuna kitu hakipo sawa, sasa Jade na Tabitha kama wameenda kuibua hao watembea mchana kazi ipo, vipo vitakua vingi sana
 
Huyu jamaa nyie anatisha hilo tabasamu lake, khaaa nimeangalia interview yake mwenyewe yuko poa tu hana neno na ndivyo anavyotabasamu
 

Attachments

  • 1ee3c0c1411a4f0bb8ff7fd0d696b4a2.jpg
    62.5 KB · Views: 4
Kosa lake pia ni kuambiwa ukweli kuhusu REINCARNATION iliyokuwa inafanyika mule.

Mara tu baada ya Thabitha kumueleza kuhusu reincarnation yake yaani miranda kurudi kama thabitha etc, ndio hapo shida ikaanza...... AKALIWA KICHWA

Kuchimba shimo ni SYMBOLISM inayomaanisha KUCHIMBUA UKWELI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…