From series msimu wa 3 umetoka

Guys, nimeona behind the scene wanavyowatengeneza wala creatures, niseme tu wakiwa kwenye demon form wala hawatishi kama wakiwa kwenye human form, imagine mtu anakufata kwa mwendo wa taratibu na tabasamu mwanana whooo! so scary
 
Hivi nani anakifaham kile kibibi kinachomfata fata Fatima na yule kijana bonge black asiyelala? jina lake nimelisahau ila kuna possibility ni one of those creatures amekuja kuishi among them halafu anawa manipulate their minds, ngoja tuona ila sikiamini kabisa
 
Mmh usikute ushamjengea mindness kama yule kibibi monster ,yule wa colony house yuko peace tu mbona ,chakulala ndio naweza sema anatumika πŸ™‚πŸ™‚
 
Anaitwa Tillie yule dogo anaitwa elgin
 
MGM hawajaanza leo Tangu LOST wanavuta mpaka season six alafu mwisho mtaachwa bila majibu ,Bad Ending
From hii upuuzi.
Kwenye lost naunga mkono hoja.
From siwezi i judge mpk nione nayo wanaimalizaje I hope hawataleta upuuzi wa kwenye lost.
 
Niliwaambia kile kibibi ki Tillie kina jambo, wasiwasi wangu sio peke yangu tu kuna discussions zinaendelea huko duniani hasa baada ya Fatima kuonekana hana ujauzito,

na mliohisi Tabitha ni dada ake Victor jibu mshalipata kua sie, maana wameoneshwa wakina utotoni ni watoto wawili tofauti ila wengine wanahisi Tabitha ni mama ake Victor amekuja kwenye kivingine wanaita ren nini sijui wataalam watamalizia
 
Ila EP ya 6 mwishoni pale tulioneshwa Tabitha kakumbuka sehemu ya majiwe 3 kuwa alikuwapo mwanzo je aliiishi eneo Hilo zamani kama ni ndio basi ndie dada yake vikita

Ngoja tuone kale kamdoli kakuitwa jasper katatupa majibu EP 7
 
Mimi imenishinda., season 3 ninayo mpaka episode ya 6 lakini nimeishia episode ya pili tu.

-Haijulikani main character ni nani kati ya tabitha, victor na boyd

-Haijulikani nini sababu ya watu kujikuta wapo kwenye ule mji

-Haijulikani ile mizimu inataka nini

-Baada ya tabitha kufanikiwa kutoka nikafikiri atakua na muafaka ila nae karudi bila majibu.

Nikaona sio kesi ngoja niachane nayo tu
 
Main character ni Boyd haya majibu yote ili kuyapata inatakiwa Kuna fumbo la watoto 7 pale likifunguliwa tutapata majibu
 
Ila EP ya 6 mwishoni pale tulioneshwa Tabitha kakumbuka sehemu ya majiwe 3 kuwa alikuwapo mwanzo je aliiishi eneo Hilo zamani kama ni ndio basi ndie dada yake vikita

Ngoja tuone kale kamdoli kakuitwa jasper katatupa majibu EP 7
Tabitha sio dada yake Victor, Tabitha na Victor wamepishana for 15 years, pia tumeoneshwa Tabitha mdogo na dada yake Victor mdogo, hawafanani, kwa hiyo theory ya hao jamaa ni ndugu haipo tena
 
Tabitha sio dada yake Victor, Tabitha na Victor wamepishana for 15 years, pia tumeoneshwa Tabitha mdogo na dada yake Victor mdogo, hawafanani, kwa hiyo theory ya hao jamaa ni ndugu haipo tena
Sema hii series director wake ana balaa sana yaani yeye ndio anajua Nini kinafata hii kweli ni best series ipo vizuri sana

Ila ujue Tabitha hii ni mara ya 3 anaingia kule na kutoka nae Fatima kapimwa tumbo hakuna mtoto hii series aisee πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…