From series msimu wa 3 umetoka

From series msimu wa 3 umetoka

Jibu moja ambalo nimepata, nikwamba hilo eneo lipo mda mrefu sana, na hiyo hali ni ya kujirudia, wazazi wanatoa sadaka watoto zao ili wao wapate kuishi milele, episode ya 10 imezalisha maswali mengi sana

1. Je ni mtoto wake yupi ambaye anamzungumzia Tabitha kwamba ni miongoni mwa watoto wanaohitajika kuokolewa

2. Yule mzee kabla ya kumuua Jim anamwambia "ni bora mke wako asingechimba lile shimo"

3. Mnakumbuka kuna vision ya Boyd kunasa kwenye shimo, kama kisima na kila akirushiwa kamba inakuwa kama imekatika... Hili ni tukio litakalokuja tokea mbeleni, linaanza pale alipoingia kwenye handaki,

4. Je kutakuwa na vita kati ya Monsters wa mchana na usiku,

5. Ule mziki ni key ya kuwafingua monster wale wa mchana, jamaa alicrack zile code in a reverse, je kuwafunga ni hivyo hivyo...

6. Ni nini hatma ya wale watatu (Randol, Nesi na Mtoto wa Tabitha)

7. Chini ya ardhi eneo lile kuna siri kubwa sana, je chanzo ni nn

8. Swali kubwa la msingi inakuwaje hawa monsters wanawafahamu watu wanaokuja pale ( je wote wapo connected na matukio ya miaka iliyopita pale)

9. Julie anaenda kurekebisha kurasa kwenye kitabu cha historia ya hilo eneo, atafanikiwa kubadilisha hadithi?

"Knowledge comes with cost"
1. Mtoto ni yule aliyepiga magoti na kumwambia Remember,

2. Ep. 1 wakati Tabitha anachimba lile shimo, Jimmy alipokea sauti kupitia ile simu ya upepo kumuuliza mke wake yupo wapi na kumwambia asingechimba lile shimo, yule mzee ndio yule yule ambaye amekua akimpigia simu na kujifanya yeye ni mtoto wao Thomas, pia alimwambia "nilijaribu sana kukuonya..... haya ndio malipo ya kua na akili nyingi" kwa hiyo kile kibabu ndio kile kilikua kinapiga piga simu,

3. May be.....

4. Vita sidhani ila kutakua na daylight monsters watakua wanaranda randa msituni, kumbuka Jullie alimwambia baba ake toka msituni nenda town kuko salama zaidi

Based on my theory
 
Kosa la Jimmy ni nn?
Uyo mzee ni nani?
 
Aiseee umepita mule mule hongera sana,
Tabitha ni Miranda na Jade ni Christopher, walikua mke na mume na wana mtoto mmoja katika wale watoto wa kwenye cave,

Sijapenda kabisa Jimmy kuuliwa japo alikua ananikera wakati mwingine lakini alijitahidi sana kuishape familia yake, namuhurumia Ethan, nina wasi wasi asije aka end up like Victor
😀😀😀 asante sana mkuu, japo episode ya 10 sijaiangalia mpaka muda huu, si unajua tena vijana na pilika pilika za wikiend. Acha niidownloqd kesho nikifika ofisini
 
1. Mtoto ni yule aliyepiga magoti na kumwambia Remember,

2. Ep. 1 wakati Tabitha anachimba lile shimo, Jimmy alipokea sauti kupitia ile simu ya upepo kumuuliza mke wake yupo wapi na kumwambia asingechimba lile shimo, yule mzee ndio yule yule ambaye amekua akimpigia simu na kujifanya yeye ni mtoto wao Thomas, pia alimwambia "nilijaribu sana kukuonya..... haya ndio malipo ya kua na akili nyingi" kwa hiyo kile kibabu ndio kile kilikua kinapiga piga simu,

3. May be.....

4. Vita sidhani ila kutakua na daylight monsters watakua wanaranda randa msituni, kumbuka Jullie alimwambia baba ake toka msituni nenda town kuko salama zaidi

Based on my theory
Dokta naomba link ya episode 10
 
Sara the mvp of the episode 10,
Kajua kufunga series vizuri kila mtu amempenda 😂😂😂
 
Attachments

  • InShot_20241125_095735597.jpg
    InShot_20241125_095735597.jpg
    415.8 KB · Views: 5
Bado Mpaka Sasa Hakuna Tarehe Rasmi Ya Kutoka Kwa Msimu Wa 4 Wa Series Ya FROM
 
Back
Top Bottom