dosho12
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 596
- 1,475
Ndiyo hapo tusubiri season 4Hivi hii Epsod ya 10 ndiyo ya mwisho?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo hapo tusubiri season 4Hivi hii Epsod ya 10 ndiyo ya mwisho?
1. Mtoto ni yule aliyepiga magoti na kumwambia Remember,Jibu moja ambalo nimepata, nikwamba hilo eneo lipo mda mrefu sana, na hiyo hali ni ya kujirudia, wazazi wanatoa sadaka watoto zao ili wao wapate kuishi milele, episode ya 10 imezalisha maswali mengi sana
1. Je ni mtoto wake yupi ambaye anamzungumzia Tabitha kwamba ni miongoni mwa watoto wanaohitajika kuokolewa
2. Yule mzee kabla ya kumuua Jim anamwambia "ni bora mke wako asingechimba lile shimo"
3. Mnakumbuka kuna vision ya Boyd kunasa kwenye shimo, kama kisima na kila akirushiwa kamba inakuwa kama imekatika... Hili ni tukio litakalokuja tokea mbeleni, linaanza pale alipoingia kwenye handaki,
4. Je kutakuwa na vita kati ya Monsters wa mchana na usiku,
5. Ule mziki ni key ya kuwafingua monster wale wa mchana, jamaa alicrack zile code in a reverse, je kuwafunga ni hivyo hivyo...
6. Ni nini hatma ya wale watatu (Randol, Nesi na Mtoto wa Tabitha)
7. Chini ya ardhi eneo lile kuna siri kubwa sana, je chanzo ni nn
8. Swali kubwa la msingi inakuwaje hawa monsters wanawafahamu watu wanaokuja pale ( je wote wapo connected na matukio ya miaka iliyopita pale)
9. Julie anaenda kurekebisha kurasa kwenye kitabu cha historia ya hilo eneo, atafanikiwa kubadilisha hadithi?
"Knowledge comes with cost"
Wamesema itakuja 2026Hayo yote tutayajua season 4, sijui itakuwa mwakani au watapiga miaka miwili wailete 2026
Duh mbona mbali mnoWamesema itakuja 2026
Kosa la Jimmy ni nn?Jibu moja ambalo nimepata, nikwamba hilo eneo lipo mda mrefu sana, na hiyo hali ni ya kujirudia, wazazi wanatoa sadaka watoto zao ili wao wapate kuishi milele, episode ya 10 imezalisha maswali mengi sana
1. Je ni mtoto wake yupi ambaye anamzungumzia Tabitha kwamba ni miongoni mwa watoto wanaohitajika kuokolewa
2. Yule mzee kabla ya kumuua Jim anamwambia "ni bora mke wako asingechimba lile shimo"
3. Mnakumbuka kuna vision ya Boyd kunasa kwenye shimo, kama kisima na kila akirushiwa kamba inakuwa kama imekatika... Hili ni tukio litakalokuja tokea mbeleni, linaanza pale alipoingia kwenye handaki,
4. Je kutakuwa na vita kati ya Monsters wa mchana na usiku,
5. Ule mziki ni key ya kuwafingua monster wale wa mchana, jamaa alicrack zile code in a reverse, je kuwafunga ni hivyo hivyo...
6. Ni nini hatma ya wale watatu (Randol, Nesi na Mtoto wa Tabitha)
7. Chini ya ardhi eneo lile kuna siri kubwa sana, je chanzo ni nn
8. Swali kubwa la msingi inakuwaje hawa monsters wanawafahamu watu wanaokuja pale ( je wote wapo connected na matukio ya miaka iliyopita pale)
9. Julie anaenda kurekebisha kurasa kwenye kitabu cha historia ya hilo eneo, atafanikiwa kubadilisha hadithi?
"Knowledge comes with cost"
😀😀😀😀😀😀Ukiwa hauna cha kuchangia usije kuharibu Uzi sawa mkuu nakupa onyo tu usirudie kwenda kinyume na mjadala adios
😀😀😀 asante sana mkuu, japo episode ya 10 sijaiangalia mpaka muda huu, si unajua tena vijana na pilika pilika za wikiend. Acha niidownloqd kesho nikifika ofisiniAiseee umepita mule mule hongera sana,
Tabitha ni Miranda na Jade ni Christopher, walikua mke na mume na wana mtoto mmoja katika wale watoto wa kwenye cave,
Sijapenda kabisa Jimmy kuuliwa japo alikua ananikera wakati mwingine lakini alijitahidi sana kuishape familia yake, namuhurumia Ethan, nina wasi wasi asije aka end up like Victor
Season 4 inatoka 2026Hayo yote tutayajua season 4, sijui itakuwa mwakani au watapiga miaka miwili wailete 2026
Dokta naomba link ya episode 101. Mtoto ni yule aliyepiga magoti na kumwambia Remember,
2. Ep. 1 wakati Tabitha anachimba lile shimo, Jimmy alipokea sauti kupitia ile simu ya upepo kumuuliza mke wake yupo wapi na kumwambia asingechimba lile shimo, yule mzee ndio yule yule ambaye amekua akimpigia simu na kujifanya yeye ni mtoto wao Thomas, pia alimwambia "nilijaribu sana kukuonya..... haya ndio malipo ya kua na akili nyingi" kwa hiyo kile kibabu ndio kile kilikua kinapiga piga simu,
3. May be.....
4. Vita sidhani ila kutakua na daylight monsters watakua wanaranda randa msituni, kumbuka Jullie alimwambia baba ake toka msituni nenda town kuko salama zaidi
Based on my theory
My dia mimi ni mdau wa Telegram naangalia hukoDokta naomba link ya episode 10
Kamsaidia boyd kutokuchukiwa na watu, sababu boyd ndiye mtu pekee aliyekuwa akiongea naye ukitoa victorSara the mvp of the episode 10,
Kajua kufunga series vizuri kila mtu amempenda 😂😂😂
Kweli alisema yeye ameshapoteza nafsi yake, hataki na Boyd awe hivyo piaKamsaidia boyd kutokuchukiwa na watu, sababu boyd ndiye mtu pekee aliyekuwa akiongea naye ukitoa victor
Hadi Mimi nimefurahi sana😀😀😀Yaani mngeniona nilivyoruka ruka baada ya kumuona Smiley aiseee jamaa anapendwa yule na mashabiki wengi tulishinikiza arudi, finally wametusikiliza, 😂😂😆
Hivi hii mimba ya mr smile aliitoa wapi?Sema Elgin ka deserve kufa maana kaongeza moto
Amekula jicho la Elgin 😀😀😀Sara the mvp of the episode 10,
Kajua kufunga series vizuri kila mtu amempenda 😂😂😂