From series msimu wa 3 umetoka

From series msimu wa 3 umetoka

Wakimuua Ellis, Fatima hawezi kuishi au atakua wa hovyo sana, wamtoe tu baba ake Victor 🤣🤣 me simuelewi japo anauliza maswali ya maana ila hawajamzingatia tu, wangemtoa yule askari au wambadilishe attitude yake ili aanze kudate na Kenny, the guy needs a girlfriend jamani
Yule Askari abadilishe zile nguo, pia kristi abadili staili ya nywele au arudishe kama zamani
 
Yellow jacket nzuri sana hivi season 2 wale wadada walifanikiwa kutoka kule msituni
Walitoka ndio
Lkn nao wakawa na mauzauza yao tafraan.
Mmoja anakuwa anaumwa cancer, mwengine anakuwa ana issue na family yake (mume plus mtt wake) yule muhusika mkuu alielala na boyfriend wa best friend wake. Na si ndio alimuua yule boyfriend wake allokuwa anacheat nae then wakamkatakata na kumuingiza kwenye coffin la maiti nyengine ilokuwa inazikwa.
Mwengine anakuwa teja.
Mwengine anakuwa anamiliki sehemu km ya kuabudu mizimu sijui ndio mnaita cult
Anyway, nishawasahau majina wote. Nna kichwa kibovu nowadays 😅😅😅
 
Aisee best series hiyo ila wamezidi Kila time wanasagana sana aisee😀😀
 
1000023444.jpg

Bonus
 
Nimeirejea hii "series", kwasasa nimeanza na msimu wa kwanza, nimefika episode ya 9! Huyu Sara atatoka salama kweli kwenye mikono ya Sheriff Boyd?
 
Sema isije kuzingua kama Reacher.

Reacher S02 nilisubiri kwa hamu lakini ilivyotoka ikawa ya hovyo haitamaniki tena.
Sio series ya kuangalia hiyo.
Episode 3 - Maongezi
Episode inayofuata - Kibao
Episode 3 nyingine - Maongezi
Episode ya mwisho - Teke
Season 1 imeisha.
 
Sio series ya kuangalia hiyo.
Episode 3 - Maongezi
Episode inayofuata - Kibao
Episode 3 nyingine - Maongezi
Episode ya mwisho - Teke
Season 1 imeisha.
Mi tangu imetoka nimejikuta nimepoteza hamu kabisa ya kuangalia.

Juzi hapo nilivyomaliza Jackal nikasema ngoja niiguse guse kidogo, Episode ya kwanza tu hata sikuifikisha katikati nikajikuta siielewi.

Nikahamia kwenye Silo nayo hivyo hivyo. Ila Silo nataka nikomae nayo hadi mwisho.
 
Mkuu hapo ulichanganya betri na gunzi.
 
Back
Top Bottom