From the book 'I am the State' (Mimi ni Dola)

Unajua kinachoendelea kwa sasa huko Zanzibar?,je unajua kua ajira kwa sasa serikalini wanzanzibar wanachukua 1/3 ya ajira zote za Tanzania bara?,punguza ujuaji wewe
 
Hichi kitabu kimeandika nini cha maana kusaidia taifa kuliko hizi fedha zinazoibiwa na mafisadi sasahivi kwani chato sio Tanzania?
 
Unachekesha!
Eti serikali ipige marufuku.
Wewe ndo ujipige ban usikisoma. Watu twakusaka hicho
 
Sawa alimwagiwa tindikali, lkn yy mwenyewe hajataka kuyaeleza wewe unataka kumpangia cha kuandika.
Kwake mabaya aloona yafaa zaidi kutueleza sie ni Magufuli. Sasa na wewe andaa kitabu cha mabaya ya JK na mazuri ya Ngosha utapata tu wasomaji
 
Pdf yake
 
Tayari kitabu kiko sokoni kama vipi na nyie mifugo ya Magufuli andikeni kitabu cha kumpamba, simple!!!
Mimi nawaona watu wa Aina yetu hamna Akili Kwa Sababu tunajua Magufuli alijenga vitu karibu kila sehemu Tanzania.
 
Mnataka kusema lisu alipata Kura nyingi kuliko Magufuli nyie hamna Akili kweli.

Hatuna tatizo na wingi wa kura za Magufuli, tulitaka kura za kweli sio zaidi ya hapo. Kwa taarifa yako Magufuli Magufuli alitangazwa kupata kura nyingi kuliko idadi ya watu waliojitokeza kupiga kura.
 
Naunga mkono ujio wa kitabu kwa vile huo ni mwanzo wa vitabu vitakavyoandikwa kwa ajili ya kuelimisha Watanzania wajinga wapatao 90% juu ya UHAYAWANI wa Magufuli aliotufanyia.


Nategemea kuona wengine wakiandika vitabu vifuatavyo:

1. Magufuli: Mtawala wa Kiimla aliyetawala bila kufuata Katiba aliyoapa.

2. WASIOJULIKANA & TASK FORCE: Namna Magufuli alivyounda magenge ya haramu kwa ajili ya kuua wapinzani na kupora matajiri

3. Namna ya kuwa Rais wa Maisha: Jinsi Magufuli alivyoiba uchaguzi wa S/Mitaa 2019 na Uchaguzi Mkuu 2020
 
Kwa kweli hakuna kitabu Bora kama hicho. Ili kuimarisha uzalendo, nashauri kitabu hicho kitumike kufundishia mashuleni elimu ya historia. Hakika watoto watakua wakielewa mambo mengi kwa kina.

Hongereni watunzi
 
Kwa kweli hakuna kitabu Bora kama hicho. Ili kuimarisha uzalendo, nashauri kitabu hicho kitumike kufundishia mashuleni elimu ya historia. Hakika watoto watakua wakielewa mambo mengi kwa kina.

Hongereni watunzi
Tupe mtunzi,na vile tunaweza kupata kitabu chenyewe🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…