From the book 'I am the State' (Mimi ni Dola)

From the book 'I am the State' (Mimi ni Dola)

Cha ajabu Mashule ya kimataifa yaliyopo nchini watakifanyia tathmini na huenda wakakitumia ila mazwazwa watamfanyia figisu mwandishi na kukitupilia mbali hicho kitabu kwa UPUMBAVU wao na chuki binafsi.

Hii rangi ina matatizo sana hii!
 
Kwa kweli hakuna kitabu Bora kama hicho. Ili kuimarisha uzalendo, nashauri kitabu hicho kitumike kufundishia mashuleni elimu ya historia. Hakika watoto watakua wakielewa mambo mengi kwa kina.

Hongereni watunzi
Ila title tu inavutia.
 
Waambie waache umbea mkapa aligeuza kijiji cha nanyumbu kikawa wilaya sumai aligawa mkoa wa arusha na kupata mkoa wa kwao manyara msuya alikifanya kijiji cha mwanga na kuwa wilaya mwandosya aliifanya pori la lusokelo kuwa wilaya kikwete alijenga kambi kubwa ya jeshi kijijini kwake msoga pinda alipandisha kijiji chake cha mlele na kuwa wilaya na mkoa wake wa katavi nk. Usisahau magufuri alipeleka wanyama pori la lutulo njombe mbali na burigi chato mnakotolea macho ambayo iko ulaya hizi elimu za kukalili maandishi ya watu wengine ni utumwa wa wenye maandishi yao. Aibu kwa taifa. Tunataka mapori mengi kusambaza utalii na yasiwe hayo 7 uliyokaririshwa na mabwana zenu
 
Cha ajabu Mashule ya kimataifa yaliyopo nchini watakifanyia tathmini na huenda wakakitumia ila mazwazwa watamfanyia figisu mwandishi na kukitupilia mbali hicho kitabu kwa UPUMBAVU wao na chuki binafsi.

Hii rangi ina matatizo sana hii!
Mwandishi J kwayu ni mwehu, leo ujinga wake ukatumike kufundishia? La saba mwenyewe alifeli akaenda kusoma private
 
Kiukweli nilitokea kumchukia sana hayati Magufuli hasa kwa mambo 'binafsi' hata kabla hajawa rais!

Ila pamoja na yote Magufuli alikua ana afadhali ukimlinganisha na Kikwete au Samia tuongee tu kwa kumtendea haki.

Ni nani hakupapendelea kwao nchi hii?

Nyerere na Mara? Nyerere na akina Butiku?

Mwinyi na Zanzibar/Mkuranga?

Mkapa na kusini?

JK?

Pili kuna haja gani ya kutumia rasilimali kubwa hivyo kuchapisha kitabu chenye maudhui yasiyo na msaada? Lengo ni kujifunza? Kama ni kujifunza si tunayo historia ya Gbadolite huko Zaire sasa DRC? Nani ana fadhili hayo na kwa maslahi gani?

Magufuli ni lost case kwa sasa haya hayatusaidii.

Mwisho tuwe makini sana na waandishi uchwara maana huu ni ulaji unatafutwa kwa mtu na ni njia ya kututoa kwenye reli.
Sioni na kwa njia gani unaweza kuwaita waandishi hawa Uchwara
 
Kinunue wapelekee babako na mamako wawe wanakisoma wakiwa chumbani
 
Kwa kweli hakuna kitabu Bora kama hicho. Ili kuimarisha uzalendo, nashauri kitabu hicho kitumike kufundishia mashuleni elimu ya historia. Hakika watoto watakua wakielewa mambo mengi kwa kina.

Hongereni watunzi
Wezi nyie mnafitahia jiwe kutangulia
 
Watanzania siyo wajinga kiasi hicho kwa sasa.
Hata mkiandika vitabu zaidi ya 60,000,000 vya kumchafua JPM, nawaambia hamtaweza hata kidogo.

JPM ni habari nyingine, ule ulikuwa ni mtambo wa NYUKLIA. Ona mnavyopata taabu sasa. JPM anaishi mioyoni mwa Watanzania wazalendo zaidi ya 91%.
Nenda mitaani humo, iwe Mjini au vijijini, watu wa rika zote wanamkumbuka JPM.
Kamwe kamwe kamwe kamwe hamtaweza kumchafua JPM.
 
Mumeo amesharudi? Nakuona tu unadanga hapa JF, hizi ni dalili imekaribia kulambwa talaka
Kwani hata nyie kwa nyie mlisha gawika,au wengine tayari wapo umoja party na wengine 🍀
 
Tatizo Tanzania huo unaoitwa uzalendo watu wanataka wafanye wananchi tu huku wao wakigawana kile kinachovunwa,huo moyo umeshanitoka mimi siku hizi napita na kilicho mbele yangu kisiwe cha mtu tu.

Wakati wa Magufuli (tafadhali sana siongei siasa) alivyokuwa amebana baadhi ya mianya nilikuwa nimepata elimu kubwa sana juu ya umuhimu wa kulipa kodi sababu ninakoishi miaka mingi kuna huduma zilikuwa hazipatikani ila wakati wake yumkini kodi niliyokuwa natoa mimi na wengine ndo ilisababisha hizo huduma kuzipata japo kwa asilimia chache.
 
Back
Top Bottom