From the book 'I am the State' (Mimi ni Dola)

kumi na tatu, sita zimekopwa.
Siku niliposoma makala ya Ngurumo gazeti la Uhuru, wakati wa msiba aliandika kuwa sirikali iliwakodi watu na kuwapa maelekezo ya kuigiza kumlilia Magu Nchi nzima nilijua Kweli chuki ni mbaya.
 
Nadhani mtoa hoja lake anataka tujikite kwenye hoja tujue lengo la hao watu kuandika hicho kitabu. Bila shaka wenye kuwajua binafsi ndio wanaweza kuchangia.
 
Kwa sasa watu muhimu,,, kitabu kinamhusu mtu,, na lazima waliokiandika nao wajadiliwe na wafadhili wao
 
Natoa wito watu tujifunze kujadili hoja na sio kujadili watu!. Jadili hoja za waandishi hao kwenye maandiko yao na sio kuwajidili wao binafsi zao.
P
Huu ukali ghafla wa nini tena!.

Ukitaka mtu ajadiliwe kile alichoandika naona kwanza tuanze kumtazama mwandishi mwenyewe kama anaendana na kile alichokiandika, "mayala" hufanya watu wasiwe na msimamo wakati mwingine.
 
Siku niliposoma makala ya Ngurumo gazeti la Uhuru, wakati wa msiba aliandika kuwa sirikali iliwakodi watu na kuwapa maelekezo ya kuigiza kumlilia Magu Nchi nzima nilijua Kweli chuki ni mbaya.
Mh! Gazeti la uhuru si ni la ccm? Ilikuwaje tena wakaruhusu ngurumo kuandika aliyoyaandika?
 
Natoa wito watu tujifunze kujadili hoja na sio kujadili watu!. Jadili hoja za waandishi hao kwenye maandiko yao na sio kuwajidili wao binafsi zao.
P
Kumbe wao kwenye hicho kitabu hawakujadili mtu! au ndo ile mkuki kwa nguruwe.......
 
Mh! Gazeti la uhuru si ni la ccm? Ilikuwaje tena wakaruhusu ngurumo kuandika aliyoyaandika?
Lile ni gazeti maalum , Huwa halina bias. Si la CCM ni la watu maalum Kwa maslah ya nchi.
 
Wheather wanatoka gazeti la udaku au wanafadhiliwa na nani haituhusu.
Contect za kitabu ndo kitu cha muhimu.
Kitabu kingekosa maudhui fundishi kingepigwa ban.
Sasa kimejaa mafundisho rejea ndo maana kipo na kitakuwepo kizazi na kizazi.
Tunawashukuru san waandishi kwa kutuandikia fact kwa ajili ya leo na kizazi kijacho.
Mbarikiwe mno
 
Natoa wito watu tujifunze kujadili hoja na sio kujadili watu!. Jadili hoja za waandishi hao kwenye maandiko yao na sio kuwajidili wao binafsi zao.
P
Paskal.
Paskal.
Paskal.
Nakuita paskal.

Nasema paskal mwanangu umekomaa.
Asante paskal
 
Waandishi washirika wa majizi

Waambieni waandike pia kuhusu hii: https://www.bbc.co.uk/news/live/uk-65474712
 
Nadhani mtoa hoja lake anataka tujikite kwenye hoja tujue lengo la hao watu kuandika hicho kitabu. Bila shaka wenye kuwajua binafsi ndio wanaweza kuchangia.
Lengo la hao watu ni kuonyesha ufisadi na UHAYAWANI wa Magufuli katika miaka 5. Kwa vile watanzania wengi ni wajinga wanadhani Magufuli alikuwa mzalendo kweli. Kumbe alikuwa mchafu tu
 
Inaonyesha waandishi ni watu wenye chuki tu na jpm na wanatumika tu na maadui ws nchi. Kilichoelezwa hapo ni uwekezaji chato kama uwekezaji mkubwa uliyofanyika nchi nzima. Wala sio uwekezaji kwa faida ya magufuli binafsi ila kwa raia wa nchi wana chato kama wengine watakavyofaidi uwekezsji nchini kote. Pia hakuna ubadhirifu wala upigaji. Sasa hawa mazezeta wanaofikiri wana akili sijui wanafikiri nini kama sio kuwafurahisha mabeberu adui za taifa la tanzania.
 
Moja kisa kilichoandikwa kwenye kitabu Cha I am....... Cha Waandishi wetu pendwa wanao ongozwa na wale walio kimbiaga nchi ni hiki.

Naomba kunukuu!

Rais Magufuli alimwalika Rais Mkapa nyumbani kwake,Rais mkapa alivyofika chato alishangazwa na maendeleo yaliyokuwa yamefikiwa,hasa alishangazwa na mahekalu aliyoyajenga Rais Magufuli hapo kwake chato na ghaflA alimgeukia mlinzi wake na kumweleza hivi"sikujua kama ikulu Kuna utajili"

Hii ni kauli ya kichonganishi,kichafuzi na haifai kuvumiliwa,kwanza waandshi hao hhawakusema ALIYEKWAMBIA hiyo kauli ni mlinzi wa hayati mkapa au?

Au na wao siku hiyo walikuwepo eneo la tukio?

Pili nani hasiye jua yakuwa zile nyumba za mzes pale chato zilijengwa wakati wa uwaziri wake?

Kwa nn serikali ya awamu ya sita inakalia kimnya mambo ya namna hii yasambazwe kumchafu mzirankende?
 
Si mlisema hamkisomi hiki kitabu na wengine mkasema karatasi zake mnachambia shit.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…