Tena ni mayai viza hayo, lipasue uone linavyonuka. Mfano Lijualikali, huyo anatofauti gani na yai viza?Jamaa wananunua 'mayai'(wabunge na madiwani) Chadema imebaki na kuku(wapiga kura) watataga tena by Sugu ( Rais wa Mbeya).
Tena ni mayai viza hayo, lipasue uone linavyonuka. Mfano Lijualikali, huyo anatofauti gani na yai viza?
Akili yako haina akiliChadema ya sasa haina tofauti na TLP!
Myopia!
Kwani sasa kuna chadema au kutimiza wajibu tu?subirini tarehe ya mwisho kuvunjwa bunge
Bila shaka haya ndio yalikuwa matumaini yao kuona CHADEMA mpaka kufikia mwisho wa vikao vya Bunge, chama kiwe kimesambaratika mitaani na Bungeni abaki Mbowe labda pengine na wabunge wasiozidi watano ila hali ni tofauti kabisa.
Hadi kufikia leo,CHADEMA bado iko ngangari na leo wamesoma Bajeti mbadala bila mkwamo hivyo wameshinda mtihani wa kuhujumiwa kwa miaka mitano na sasa Bunge linakwenda kuvunjwa na hata kama wako wataohama, bado hakuna kitachoiyumbisha CHADEMA.
Licha ya hujuma zote,CHADEMA iko kila mahali nchi hii kuanzia ngazi za vitongoji mpaka Taifa na iko imara katika ngazi zote kuanzia chini mpaka juu.
CHADEMA ni kama siti ya daladala,akitoka huyu anaingia mwingine tena kwa kuwahi faster asikose siti.
Poleni sana ila angalieni msife kwa frustrations baada ya kushindwa kutimiza azima yenu.
CHADEMA kwa watanzania ni mpango wa Mungu kama ilivyokuwa Mussa kwa wana wa Isreali.
Miaka mitano wanatwanga maji kwenye kinu na bado hawashituki!!!Sijui kama wako timamu!!
Aibuuu!!!!
Wewe ni saa mbovu kuna wakati inapatia majiraChadema ya sasa haina tofauti na TLP!
Mwisho wa ubaya ni aibu.
Kufa kqa chama sio jina.bqashee,kufa kwa chama ni zile shughuli za kila siku za kujitanua
TADEA ipo kimaandishi lak i ni.imekufa tu,na chadema.mmeshafika huko mkipata wabunge hata wawili mkachinje kuku
Unasikia bungeni namna maCCM wanapiga makofi zinapotajwa nchi zinazochangia budget na namna huku nje mapovu ya MABEBERU yanavyowatoka unabaki umeshangaa kabisa.
Hongereni sana Wanachadema halisi. Huu ni muda wa kunirudisha chama kwenye uhalisia wake.
Bora nibakie na dhiki zangu nikiwa na cdm.Chama kimebaki na watu wasio nunulika makapi yote yamechujwa na kurudi ccm
Mbowe kapewa 5billion asigombee uwenyekiti kachomoa, Mnyika, Mde, Bulaya, Matiko Milion 500 na uwaziri wamechomoa wakina Sugu, Lema mil 300 na ubunge wakachomoa.
Watu watakao baki chadema ndio wazalendo na wanatakiwa kupewa nchi
Chadema inaenda kuwa imara zaidi ya 2015 kwenda nyuma ambapo ilikuwa na watu watiifu na wafia chama na ambao wapo tayari kwa lolote..
Chadema ni Oxygen ya Watanzania!
Tatizo wenzetu kitu aibu kwao ni msamiati mgumu sanaKatika hili,Jiwe na watu wake wameangukia pua tena kwa aibu .
Uchaguzi huu tuweke Chadema Halisi sio hawa fake kina nyalandu