Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
- Thread starter
- #61
Wajinyonge.Hii inawauma sana !
Wajinyonge.Hii inawauma sana !
VizuriChama kimebaki na watu wasio nunulika makapi yote yamechujwa na kurudi ccm
Mbowe kapewa 5billion asigombee uwenyekiti kachomoa, Mnyika, Mde, Bulaya, Matiko Milion 500 na uwaziri wamechomoa wakina Sugu, Lema mil 300 na ubunge wakachomoa.
Watu watakao baki chadema ndio wazalendo na wanatakiwa kupewa nchi
Chadema inaenda kuwa imara zaidi ya 2015 kwenda nyuma ambapo ilikuwa na watu watiifu na wafia chama na ambao wapo tayari kwa lolote..