Frustrations: Walitarajia mpaka muda huu CHADEMA iwe imesambaratika na kushindwa hata kutimiza majukumu yake ndani ya Bunge

Cdm siyo Mbowe au Lema au Mdee, cdm ni wanachama na wapenzi na wakereketwa ambao kimsingi tupo wengi sana.
Myopia!
Kwani sasa kuna chadema au kutimiza wajibu tu?subirini tarehe ya mwisho kuvunjwa bunge
 
Bila shaka haya ndio yalikuwa matumaini yao kuona CHADEMA mpaka kufikia mwisho wa vikao vya Bunge, chama kiwe kimesambaratika mitaani na Bungeni abaki Mbowe labda pengine na wabunge wasiozidi watano ila hali ni tofauti kabisa.

Hadi kufikia leo,CHADEMA bado iko ngangari na leo wamesoma Bajeti mbadala bila mkwamo hivyo wameshinda mtihani wa kuhujumiwa kwa miaka mitano na sasa Bunge linakwenda kuvunjwa na hata kama wako wataohama, bado hakuna kitachoiyumbisha CHADEMA.

Licha ya hujuma zote,CHADEMA iko kila mahali nchi hii kuanzia ngazi za vitongoji mpaka Taifa na iko imara katika ngazi zote kuanzia chini mpaka juu.

CHADEMA ni kama siti ya daladala,akitoka huyu anaingia mwingine tena kwa kuwahi faster asikose siti.

Poleni sana ila angalieni msife kwa frustrations baada ya kushindwa kutimiza azima yenu.

CHADEMA kwa watanzania ni mpango wa Mungu kama ilivyokuwa Mussa kwa wana wa Isreali.

Miaka mitano wanatwanga maji kwenye kinu na bado hawashituki!!!Sijui kama wako timamu!!

Aibuuu!!!!
Strategies Magu,hata ambaye hatasoma catalyst ananafuu kubwa
 
Hakika !
 
Kufa kqa chama sio jina.bqashee,kufa kwa chama ni zile shughuli za kila siku za kujitanua
TADEA ipo kimaandishi lak i ni.imekufa tu,na chadema.mmeshafika huko mkipata wabunge hata wawili mkachinje kuku
Nilijua kwamba huna akili , ila sikujua kama kumbe huna akili hata moja ! Hasara aliyoipata mama yako haipimiki !
 
Bila shaka haya ndio yalikuwa matumaini yao kuona CHADEMA mpaka kufikia mwisho wa vikao vya Bunge, chama kiwe kimesambaratika mitaani na Bungeni abaki Mbowe labda pengine na wabunge wasiozidi watano ila hali ni tofauti kabisa.

Hadi kufikia leo,CHADEMA bado iko ngangari na leo wamesoma Bajeti mbadala bila mkwamo hivyo wameshinda mtihani wa kuhujumiwa kwa miaka mitano na sasa Bunge linakwenda kuvunjwa na hata kama wako wataohama, bado hakuna kitachoiyumbisha CHADEMA.

Licha ya hujuma zote,CHADEMA iko kila mahali nchi hii kuanzia ngazi za vitongoji mpaka Taifa na iko imara katika ngazi zote kuanzia chini mpaka juu.

CHADEMA ni kama siti ya daladala,akitoka huyu anaingia mwingine tena kwa kuwahi faster asikose siti.

Poleni sana ila angalieni msife kwa frustrations baada ya kushindwa kutimiza azima yenu.

CHADEMA kwa watanzania ni mpango wa Mungu kama ilivyokuwa Mussa kwa wana wa Isreali.

Miaka mitano wanatwanga maji kwenye kinu na bado hawashituki!!!Sijui kama wako timamu!!

Aibuuu!!!!
NASISITIZA:UKIINGIA NI CHADEMA ,UKITOKA NI: CHAMA CHA DEMOKRASIA TANZANIA.
 
Bado tunasubiri dua zenu za kuku kwa mwewe. Sisimizi adondoshe kabati.
 
Umekosea sana! Chadema inafurukuta tu iingie ikulu lakin ndani yao hamna kitu..biashara tu
 
Kuna mtu alipewa bilioni tano ampe Mbowe asigombee urais akalamba , Jiwe kugundua akamfurumusha kwenye cheo chake.
 
Kufa kqa chama sio jina.bqashee,kufa kwa chama ni zile shughuli za kila siku za kujitanua
TADEA ipo kimaandishi lak i ni.imekufa tu,na chadema.mmeshafika huko mkipata wabunge hata wawili mkachinje kuku
Endelea kudhania chadema imekufa mwishowe utakuta kwenu ndo Kuna msiba wa mzazi wako...shauri yko
 
Back
Top Bottom