Myopia!
Kwani sasa kuna chadema au kutimiza wajibu tu?subirini tarehe ya mwisho kuvunjwa bunge

Comment yako ina masaa mawili haina like hata moja, wakati zingine zina dkk 5 zina likes 20.Chadema ya sasa haina tofauti na TLP!
Utasababisha TLP watemwe na CCM bureChadema ya sasa haina tofauti na TLP!
Enenda ukapate ushauri kwa Mzee Wasira kuhusu hizo ngonjera.Myopia!
Kwani sasa kuna chadema au kutimiza wajibu tu?subirini tarehe ya mwisho kuvunjwa bunge
Strategies Magu,hata ambaye hatasoma catalyst ananafuu kubwaBila shaka haya ndio yalikuwa matumaini yao kuona CHADEMA mpaka kufikia mwisho wa vikao vya Bunge, chama kiwe kimesambaratika mitaani na Bungeni abaki Mbowe labda pengine na wabunge wasiozidi watano ila hali ni tofauti kabisa.
Hadi kufikia leo,CHADEMA bado iko ngangari na leo wamesoma Bajeti mbadala bila mkwamo hivyo wameshinda mtihani wa kuhujumiwa kwa miaka mitano na sasa Bunge linakwenda kuvunjwa na hata kama wako wataohama, bado hakuna kitachoiyumbisha CHADEMA.
Licha ya hujuma zote,CHADEMA iko kila mahali nchi hii kuanzia ngazi za vitongoji mpaka Taifa na iko imara katika ngazi zote kuanzia chini mpaka juu.
CHADEMA ni kama siti ya daladala,akitoka huyu anaingia mwingine tena kwa kuwahi faster asikose siti.
Poleni sana ila angalieni msife kwa frustrations baada ya kushindwa kutimiza azima yenu.
CHADEMA kwa watanzania ni mpango wa Mungu kama ilivyokuwa Mussa kwa wana wa Isreali.
Miaka mitano wanatwanga maji kwenye kinu na bado hawashituki!!!Sijui kama wako timamu!!
Aibuuu!!!!
Endelea kujidanganya mwenyeweChadema ya sasa haina tofauti na TLP!
Hakika !Bila shaka haya ndio yalikuwa matumaini yao kuona CHADEMA mpaka kufikia mwisho wa vikao vya Bunge, chama kiwe kimesambaratika mitaani na Bungeni abaki Mbowe labda pengine na wabunge wasiozidi watano ila hali ni tofauti kabisa.
Hadi kufikia leo,CHADEMA bado iko ngangari na leo wamesoma Bajeti mbadala bila mkwamo hivyo wameshinda mtihani wa kuhujumiwa kwa miaka mitano na sasa Bunge linakwenda kuvunjwa na hata kama wako wataohama, bado hakuna kitachoiyumbisha CHADEMA.
Licha ya hujuma zote,CHADEMA iko kila mahali nchi hii kuanzia ngazi za vitongoji mpaka Taifa na iko imara katika ngazi zote kuanzia chini mpaka juu.
CHADEMA ni kama siti ya daladala,akitoka huyu anaingia mwingine tena kwa kuwahi faster asikose siti.
Poleni sana ila angalieni msife kwa frustrations baada ya kushindwa kutimiza azima yenu.
CHADEMA kwa watanzania ni mpango wa Mungu kama ilivyokuwa Mussa kwa wana wa Isreali.
Miaka mitano wanatwanga maji kwenye kinu na bado hawashituki!!!Sijui kama wako timamu!!
Aibuuu!!!!
Nilijua kwamba huna akili , ila sikujua kama kumbe huna akili hata moja ! Hasara aliyoipata mama yako haipimiki !Kufa kqa chama sio jina.bqashee,kufa kwa chama ni zile shughuli za kila siku za kujitanua
TADEA ipo kimaandishi lak i ni.imekufa tu,na chadema.mmeshafika huko mkipata wabunge hata wawili mkachinje kuku
Ni kweli CHADEMA inapita majaribu na yazidi kuwa imara zaidi. AMENKatika hili,Jiwe na watu wake wameangukia pua tena kwa aibu .
NASISITIZA:UKIINGIA NI CHADEMA ,UKITOKA NI: CHAMA CHA DEMOKRASIA TANZANIA.Bila shaka haya ndio yalikuwa matumaini yao kuona CHADEMA mpaka kufikia mwisho wa vikao vya Bunge, chama kiwe kimesambaratika mitaani na Bungeni abaki Mbowe labda pengine na wabunge wasiozidi watano ila hali ni tofauti kabisa.
Hadi kufikia leo,CHADEMA bado iko ngangari na leo wamesoma Bajeti mbadala bila mkwamo hivyo wameshinda mtihani wa kuhujumiwa kwa miaka mitano na sasa Bunge linakwenda kuvunjwa na hata kama wako wataohama, bado hakuna kitachoiyumbisha CHADEMA.
Licha ya hujuma zote,CHADEMA iko kila mahali nchi hii kuanzia ngazi za vitongoji mpaka Taifa na iko imara katika ngazi zote kuanzia chini mpaka juu.
CHADEMA ni kama siti ya daladala,akitoka huyu anaingia mwingine tena kwa kuwahi faster asikose siti.
Poleni sana ila angalieni msife kwa frustrations baada ya kushindwa kutimiza azima yenu.
CHADEMA kwa watanzania ni mpango wa Mungu kama ilivyokuwa Mussa kwa wana wa Isreali.
Miaka mitano wanatwanga maji kwenye kinu na bado hawashituki!!!Sijui kama wako timamu!!
Aibuuu!!!!
Bado tunasubiri dua zenu za kuku kwa mwewe. Sisimizi adondoshe kabati.Bila shaka haya ndio yalikuwa matumaini yao kuona CHADEMA mpaka kufikia mwisho wa vikao vya Bunge, chama kiwe kimesambaratika mitaani na Bungeni abaki Mbowe labda pengine na wabunge wasiozidi watano ila hali ni tofauti kabisa.
Hadi kufikia leo,CHADEMA bado iko ngangari na leo wamesoma Bajeti mbadala bila mkwamo hivyo wameshinda mtihani wa kuhujumiwa kwa miaka mitano na sasa Bunge linakwenda kuvunjwa na hata kama wako wataohama, bado hakuna kitachoiyumbisha CHADEMA.
Licha ya hujuma zote,CHADEMA iko kila mahali nchi hii kuanzia ngazi za vitongoji mpaka Taifa na iko imara katika ngazi zote kuanzia chini mpaka juu.
CHADEMA ni kama siti ya daladala,akitoka huyu anaingia mwingine tena kwa kuwahi faster asikose siti.
Poleni sana ila angalieni msife kwa frustrations baada ya kushindwa kutimiza azima yenu.
CHADEMA kwa watanzania ni mpango wa Mungu kama ilivyokuwa Mussa kwa wana wa Isreali.
Miaka mitano wanatwanga maji kwenye kinu na bado hawashituki!!!Sijui kama wako timamu!!
Aibuuu!!!!
Umekosea sana! Chadema inafurukuta tu iingie ikulu lakin ndani yao hamna kitu..biashara tuBila shaka haya ndio yalikuwa matumaini yao kuona CHADEMA mpaka kufikia mwisho wa vikao vya Bunge, chama kiwe kimesambaratika mitaani na Bungeni abaki Mbowe labda pengine na wabunge wasiozidi watano ila hali ni tofauti kabisa.
Hadi kufikia leo,CHADEMA bado iko ngangari na leo wamesoma Bajeti mbadala bila mkwamo hivyo wameshinda mtihani wa kuhujumiwa kwa miaka mitano na sasa Bunge linakwenda kuvunjwa na hata kama wako wataohama, bado hakuna kitachoiyumbisha CHADEMA.
Licha ya hujuma zote,CHADEMA iko kila mahali nchi hii kuanzia ngazi za vitongoji mpaka Taifa na iko imara katika ngazi zote kuanzia chini mpaka juu.
CHADEMA ni kama siti ya daladala,akitoka huyu anaingia mwingine tena kwa kuwahi faster asikose siti.
Poleni sana ila angalieni msife kwa frustrations baada ya kushindwa kutimiza azima yenu.
CHADEMA kwa watanzania ni mpango wa Mungu kama ilivyokuwa Mussa kwa wana wa Isreali.
Miaka mitano wanatwanga maji kwenye kinu na bado hawashituki!!!Sijui kama wako timamu!!
Aibuuu!!!!
Maneno tu hayoKuna mtu alipewa bilioni tano ampe Mbowe asigombee urais akalamba , Jiwe kugundua akamfurumusha kwenye cheo chake.
Shika adabu yako wee kijanaChadema ya sasa haina tofauti na TLP!
Endelea kudhania chadema imekufa mwishowe utakuta kwenu ndo Kuna msiba wa mzazi wako...shauri ykoKufa kqa chama sio jina.bqashee,kufa kwa chama ni zile shughuli za kila siku za kujitanua
TADEA ipo kimaandishi lak i ni.imekufa tu,na chadema.mmeshafika huko mkipata wabunge hata wawili mkachinje kuku
Chadema ya sasa haina tofauti na TLP!
Kila andiko analipwa ataombaje radhi ?Bwashee omba radh