Simba huwa hatufungwi kama unabisha leta timu yako 😅🤣😂 hv kuna mchezaji pale yanga anaweza kuingia first eleven ya Simba kweli!Ila mna Mbwembwee 😔 siku ya kufungwa sijui mtaambia nini watu.
#Lolote baya liwakute Mikia.
Tunasonya tuIla mna Mbwembwee 😔 siku ya kufungwa sijui mtaambia nini watu.
#Lolote baya liwakute Mikia.
Simba inapigwa ndani njeAll the best Mnyama🦁
Leo Simba atakaribishwa katika mchezo wa mzunguko wa pili katika mkondo wa kwanza wa ligi ya mabingwa Afrika dhidi ya 15 De Agosto dimba la Uhuru
View attachment 3694957
#nguvu moya👊
We Jidanganye tu. 😀Hakuna timu ya kumfunga Simba SC kwa siku za karibu labda umlete Bayern Munich 🤣
Hapo ni ushindi mmoja tu. Lol.Simba huwa hatufungwi kama unabisha leta timu yako 😅🤣😂 hv kuna mchezaji pale yanga anaweza kuingia first eleven ya Simba kweli!
Dua la kuku halimpati mwewe, walijisemea wahenga ShadeeyaIla mna Mbwembwee 😔 siku ya kufungwa sijui mtaambia nini watu.
#Lolote baya liwakute Mikia.
Na kurudi siasani. 😂Tunasonya tu
Eti msicheke na kima. Uwiiii.Kila la kheri Simba.
Msicheke na kima,
Kila atakayetia pua piteni naye