Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,676
- 128,227
Hili halipingiki Mkuu.
Hili halipingiki Mkuu.
😅🤣😂Hapo ni ushindi mmoja tu. Lol.
😂😂Simba inapigwa ndani nje
Kwa kuwa umesha jitengenezea hii fikra basi ishi nayo Mkuu.Sasa nikuulize labda ni timu gani ya kumfunga Simba?
Weka ushabiki wako pembeni nijibu kama mtu wa soka
Hahahaa. Hapo presha juu.Weka akiba ya maneno badae usije kukimbia hii comment yako hapa
PsgHakuna timu ya kumfunga Simba SC kwa siku za karibu labda umlete Bayern Munich 🤣
We mzee futa hii kauli kibabe kwa goigoi yule,?
Kampeni ya kutocheka na kima imeanza mapema msimu huu.Eti msicheke na kima. Uwiiii.
Mie nipo hapa Mtani msije kataa tu hizi kauli zenu.
Wananchi wataanzishaje uzi wakati hawana uhakika wa ushindi? Wapo huko wanazozana kama Manqoba abaki au afungashiwe virago🤣🤣🤣Wananchi wenzangu anzisheni uzi basi kumbe na sisi tunacheza baadae.
Dah! Mkuu.....kirahisi namna hiyo?😃Simba inapigwa ndani nje