Bado hujasema mtani😂😂😂Kama hadi Dumbia kafunga hapo kuna timu kweli. Teh teh. 🏃♀️🏃♀️
leta timu yako 😁Hawa vilema nao mpaka doumbia anapata goli
leta ya kwako 😁Kama hadi Dumbia kafunga hapo kuna timu kweli. Teh teh. 🏃♀️🏃♀️
Golikipa wenu Diarra ana bahati, otherwise flamingoko wetu alikuwa anaanza naye. 😂🤣Kama hadi Dumbia kafunga hapo kuna timu kweli. Teh teh. 🏃♀️🏃♀️
Leo mbona tutakoma.Bado hujasema mtani😂😂😂
Chuma 4 mkuu😂😂😂Leo mbona tutakoma.
Yaani. Na hicho tulikuwa hatukitaki kitokee na kweli hakikutokea.Golikipa wenu Diarra ana bahati, otherwise flamingoko wetu alikuwa anaanza naye. 😂🤣