Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Mna bahati sana hakuwafungaKama hadi Dumbia kafunga hapo kuna timu kweli. Teh teh. 🏃♀️🏃♀️
Mna bahati sana hakuwafungaKama hadi Dumbia kafunga hapo kuna timu kweli. Teh teh. 🏃♀️🏃♀️
Mtaniiii, dumbia katupia hukuuuKama hadi Dumbia kafunga hapo kuna timu kweli. Teh teh. 🏃♀️🏃♀️
Wewe ndo mtu wa maana zaidi tupaze sauti 🔊 🗣 🔊 🗣 #FREELISUFRee lissu
Duh tumeshinda 4 kweli au nina wenge la usingizi?Alikua na ukameee
Victor OSIMEN😂
Dombia nae kafunga kwani?Doumbiaaa atafunga sana wazee😁
Yaani. Mbona tungejuta kuwafahamu.Mna bahati sana hakuwafunga