Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 4,994
- 9,625
DOUMBIIIIIIAAAAAAAA
Tooba.Dumbia kwa mara nyingine anaingia kambani
Si ajabu mpaka dkk 90 zinaisha kauli zenu zikawa ni hizi hizi tu. 😂😂
Tushike lipi sasa?Kama hadi Dumbia kafunga hapo kuna timu kweli. Teh teh. 🏃♀️🏃♀️
Mbona Flamingo. 😂😂Flamingoko wetu tena kafunga. Leo kama hatatoka na hat trick sijui. 😂🤣
Nini?Duuuh
Goooooal la 7. Doimbia tena. HattrickLeo Simba kapiga bomu mochware
LolTushike lipi sasa?
Na Doumbia kachachuka leo😃😜Daah!