😂😂😂Mabeki wanafanya makosa daaa
Mbona kihasira Mtani. 😂😂Chagua wewe 😁
Miguu mirefu. 😂Mbona Flamingo. 😂😂
Nani mpira umemgonga kwenye ugoko?De Agosto chama langu mnaniangusha. Haiwezekani mpira unamgonga mchezaji kwenye ugoko, unaingia kambani! Mabeki mko wapi?
MojaWamefunga?
Huyu naye anataka kuleta mambo ya Inonga. Kashajiona bonge la beki.rushine anazingua mara pili hii, hata wamalawi alisababisha penalt
Hahaha ni heshima kubwa sanaHili goli la kufutia machozi limetuheshimisha sana Wana De Agosto.
Kuna Musimu Jr pia. Naona huyu dogo naye yuko vizuri haswaaa.Mimi game changer Wangu leo NI MAURICE....
Sana yaani.Hili goli la kufutia machozi limetuheshimisha sana Wana De Agosto.
Kama nawaona Mikia walivyosonya. 😂😂Hahaha ni heshima kubwa sana
Mashujaa 6Might Wanderers 6 ...
Fc 15 De agosto 6....
Simba kwani mna mpango gani huu mwaka?
Sema ana rough play, itamgharimu akikutana na refa mkudaKuna Musimu Jr pia. Naona huyu dogo naye yuko vizuri haswaaa.
Mambo ya ..... bila waiachie yangaKama nawaona Mikia walivyosonya. 😂😂
Kabisa yaani Mkuu.Mambo ya ..... bila waiachie yanga