😁😁15 de agosto mpaka muda huu wanajiuliza ni nani alitutuma tufuzu mashindano ya caf champion
jangwani😀😀Simba kwa sasa imejipata. Yaani ukikutana nayo unatamani kujinyea, hata timu za Arabuni hawaombei kukutana na hii Simba. Jangwani wanajiharishia tu wakiiona hii Simba.
BTW: Nauza pampas bei nafuu
Dokta kaniambia mkojo wangu una chembechembe za sukari😆Hii Sukari itatuuwa wakuu 🤣
Tunywe cheupe 😅Ili kuiweka level tunafanyaje mkuu😂
Anachekesha kama sio ndugu yakoHujakosea 😂
Super leter ya baridi😅Hakuna namna nyingine ukiachana na hiyo au kwenye maji niweke chumvi😀
Lete timu yako. Maneno yasiwe mengi.Leo Simba kapiga bomu mochware
Leta yako mkuuSimba wamecheza na 15° de bodaboda wa Angola
kama unaona hawa tumewaonea basi leta timu yakoSimba wamecheza na 15° de bodaboda wa Angola
Dumbia ndiyo habari ya mujini😂😂😂Aisee! Leo hatulali Mtani.
Kila tutakapopita habari itakuwa ni Dumbia.
Tafuta ambae sio 'Kibonde' tupambane.!Leo simba kakutana na kibonde..🦁