Hata mie naona aisee.Na Doumbia kachachuka leo😃😜
Mkuu acha hizo basi. Mana tunawajua vyema.Ili uto wasilale kabisaa doumbia amalizie hatrick
Wamefunga?Ahsante de agosto
Hili ni jambo jema sanaa. Tumewachafulia kitabu.Gooooooooo! De Agosto tumepata goli hapa dakika 90 🔥🔥🔥
Hapo stori ni Dumbya.Kwahiyo leo stori ni goli sita au magoli ya ndumbya 😂😂
Mtani kama nakuona ulivyokasirika baada ya kuingia hilo goli moja. 😂😂Full Time
De Agosto 1- 6 Simba
Pole. 😂Simba washaharibu furaha