Bado hujasema mtaniπππKama hadi Dumbia kafunga hapo kuna timu kweli. Teh teh. πββοΈπββοΈ
leta timu yako πHawa vilema nao mpaka doumbia anapata goli
leta ya kwako πKama hadi Dumbia kafunga hapo kuna timu kweli. Teh teh. πββοΈπββοΈ
Golikipa wenu Diarra ana bahati, otherwise flamingoko wetu alikuwa anaanza naye. ππ€£Kama hadi Dumbia kafunga hapo kuna timu kweli. Teh teh. πββοΈπββοΈ
Leo mbona tutakoma.Bado hujasema mtaniπππ
Chuma 4 mkuuπππLeo mbona tutakoma.
Yaani. Na hicho tulikuwa hatukitaki kitokee na kweli hakikutokea.Golikipa wenu Diarra ana bahati, otherwise flamingoko wetu alikuwa anaanza naye. ππ€£