Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 8,797
- 15,762
Ses naona umeamua kutuzushia. πWananchi wataanzishaje uzi wakati hawana uhakika wa ushindi? Wapo huko wanazozana kama Manqoba abaki au afungashiwe viragoπ€£π€£π€£
Mkuu waambie.Jamaa wako vizuri kwenye kucheza low block balaa wakiwapiga kimoja mtachanganyikiwa
Kaingia second round kwa aggregate ya 5-0 sio wa kumdharauMkuu waambie.
Hii game Simba anakaa naona yale ya UD Songo yanajirudiaWeka maneno ya akiba π€£
Guvu moyaaaaAll the best Mnyamaπ¦
Leo Simba atakaribishwa katika mchezo wa mzunguko wa pili katika mkondo wa kwanza wa ligi ya mabingwa Afrika dhidi ya 15 De Agosto dimba la Uhuru
View attachment 3694957
#nguvu moyaπ
Mchawi MPE mtoto wako akuleleeeHii game Simba anakaa naona yale ya UD Songo yanajirudia
Unajipiga dole alafu unanusa πSimba anakufa si chini ya goli 3
Kazi yenu hiyo makolo kijipiga madoleUnajipiga dole alafu unanusa π
Mbona hautaji na aggregate ya mnyamaKaingia second round kwa aggregate ya 5-0 sio wa kumdharau
Max Mello pin thisβοΈSimba anakufa si chini ya goli 3
Hahahaa. Hivyo tukitumia lugha ya huku kwetu uswahilini tunasema kwenye hii hatua Mikia Wajishikilie.Makolo hii ndo safari yenu ya mwisho club bingwa afrika