uran
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 19,101
- 31,995
Ratiba...Kwa nini wameweka mechi saa 9. Jua kali sana
Ili De Agosto abondwe vizuri.
CAF wanataka Simba achukue ubingwa wa CAF
Ratiba...Kwa nini wameweka mechi saa 9. Jua kali sana
Acha wivu mdauHii sio mechi ni upuuzi
Kweny jua Ingekuwa mwarabu hapo sawa, ila yale ngozi ngumuRatiba...
Ili De Agosto abondwe vizuri.
CAF wanataka Simba achukue ubingwa wa CAF
Tutayafunga tu mkuuKweny jua Ingekuwa mwarabu hapo sawa, ila yale ngozi ngumu
Huwa nasema kila leo Africa ilikuwa bado sana kujitawala. Angalia mambo aliyofanya Chivayo na marais wetuWaafrika ni jamii moja ya watu wa hovyo sana.
Yaani nchi kama Equatorial Guinea ambayo inauza mafuta nje inashindwaje kuwa na uwanja mzuri wa mpira mpaka timu eti icheze mechi zake za nyumbani kwenye uwanja wa timu pinzani.!!!???
Eti na Madagascar pia vilevile.
Ni kitu hakiingi akilini kabisa. Tusingedai uhuru mambo kama haya yasingetokea kabisa.
Mkuu, vipaumbele ndio ishu, hao wanaviwanja vya kizamani.Waafrika ni jamii moja ya watu wa hovyo sana.
Yaani nchi kama Equatorial Guinea ambayo inauza mafuta nje inashindwaje kuwa na uwanja mzuri wa mpira mpaka timu eti icheze mechi zake za nyumbani kwenye uwanja wa timu pinzani.!!!???
Eti na Madagascar pia vilevile.
Ni kitu hakiingi akilini kabisa. Tusingedai uhuru mambo kama haya yasingetokea kabisa.
Updates vikosi mwambaAll the best Mnyama🦁
Leo Simba atakaribishwa katika mchezo wa mzunguko wa pili katika mkondo wa kwanza wa ligi ya mabingwa Afrika dhidi ya 15 De Agosto dimba la Uhuru
View attachment 3694957
#nguvu moya👊
Si ili muwafunge. 🤪Kwa nini wameweka mechi saa 9. Jua kali sana
Tumewaza sawa Mtani.Ratiba...
Ili De Agosto abondwe vizuri.
CAF wanataka Simba achukue ubingwa wa CAF
Hivyo mumechemka. 😂Kweny jua Ingekuwa mwarabu hapo sawa, ila yale ngozi ngumu
Mwenyeji ndio anapendekeza siku na muda wa mechi. De Agosto ndio wamechagua muda huoRatiba...
Ili De Agosto abondwe vizuri.
CAF wanataka Simba achukue ubingwa wa CAF