Ndio mbinu mlizowapaMumeshaanza. 😂
Goli kumi ni rahisi kuzitamka tu Mkuu. Ila kiuhalisia ni nyingi mno.Wanaenda kucheza na kibonde
Walaa.Ndio mbinu mlizowapa
Wamekuja kupiga butiHawa vijana wa de Agosto mpak wanatunyongea wachezaji wetu..
Tucheze ball
Kumbe Mkuu. Wafungwe tu kelele zipungue.Hii game kama sio sare De agosto anashinda
Hamna timu pale, de agosto washindwe wenyeweKumbe Mkuu. Wafungwe tu kelele zipungue.
Physique...., punguzeni kula wali maharageHamna timu hapo Zaid ya Rafu za kijinga
Mtani kila nikitaka kujizuia kucheka nashindwa eti.Wamekuja kupiga buti
Cheka sana tu🤣Mtani kila nikitaka kujizuia kucheka nashindwa eti.
Imekuwaje kwani tena?