Si ajabu mpaka dkk 90 zinaisha kauli zenu zikawa ni hizi hizi tu. šš
Wale majamaa wa migongo wazi walikuwa wanataka kuua hiki kipaji kwa kumweka benchiChaaamaaaa
Usajili bora kabisa huo kwa Simba.Chilambo apimwe kama anatumia dawa za kuongeza nguvu. Amefikaje kwenye 6 na yeye ni beki. Mimi ni Yanga afiLikaaa
Hii timu ni level za Yanga na Azam.Hii timu ya level za Namungo
Azam hawana akili. Waliweka dau kubwa kwa Feisal badala ya Chilambo. Kukariri ni kubaya sana.Chilambo sijajua ni beki au mshambuliaji
Wakimuangalia anachofanya huku wanajuta kumuachiaWale majamaa wa migongo wazi walikuwa wanataka kuua hiki kipaji kwa kumweka benchi
Yanga sijui kama ingetoka kwa hii timuHii timu ni level za Yanga na Azam.
Wanaupiga sana
Wamekariri maneno ya mashabiki.Azam hawana akili. Waliweka dau kubwa kwa Feisal badala ya Chilambo. Kukariri ni kubaya sana.