Sisi ni wakubwa. Tayari tumeingia makundi! Leo tunaenda tu kukamilisha ratiba. Wacha tuwaachie wadogo zetu wahahangaike na dua zao.Wananchi wenzangu anzisheni uzi basi kumbe na sisi tunacheza baadae.
Wananchi tayari wana mtaji wa goli 4 za ugenini kule Chamazi Madagascar! Leo tunaenda tena kumpiga mtu goli za kutosha. Jioni usikose kuangalia mechi ya wakubwa.Wananchi wataanzishaje uzi wakati hawana uhakika wa ushindi? Wapo huko wanazozana kama Manqoba abaki au afungashiwe viragoπ€£π€£π€£
Game ngumu.All the best Mnyamaπ¦
Leo Simba atakaribishwa katika mchezo wa mzunguko wa pili katika mkondo wa kwanza wa ligi ya mabingwa Afrika dhidi ya 15 De Agosto dimba la Uhuru
View attachment 3694957
#nguvu moyaπ
Basi mnaringaaHili halipingiki Mkuu.
Hivi ndo umeanza ule ugomvi?Basi mnaringaa
Kiingilio ni miguu yakooooWanachezea hapa hapa Bongo? Nimeona Uhuru stadium, ngoja nijiandae niende kwa kweli
FT Over 2.5, naangalia mechi, mdosi analipia BiaAll the best Mnyamaπ¦
Leo Simba atakaribishwa katika mchezo wa mzunguko wa pili katika mkondo wa kwanza wa ligi ya mabingwa Afrika dhidi ya 15 De Agosto dimba la Uhuru
View attachment 3694957
#nguvu moyaπ
InshaAllah Mnyaazi MUNGU atatenda, Tumsifu Yesu KristuKiingilio ni miguu yakoooo
Sisi wengine tutakua kwenye majukumu ya kujenga taifa
All in all, Simba π¦ guvu moyaaaaaa
Imekaa Njema sana sana Hii, asubuhi nilienda morning glory pale KKKT Sinza na mchana nitasali adhuhuri pale Msikiti wa PalestinaPia 2nd Leg itachezwa hapohapo Uhuru stadium
Sawa Mkuu.Sisi ni wakubwa. Tayari tumeingia makundi! Leo tunaenda tu kukamilisha ratiba. Wacha tuwaachie wadogo zetu wahahangaike na dua zao.
Si ulisema unaanza wewe?Hivi ndo umeanza ule ugomvi?
Mbona game ya Uto inapigwa Chamazi?yanga walitaka hii mechi mashabiki wao ndio waingie ili kuunganisha na mechi yao yani kusiwe na shabiki wa simba uhuru leo ila wamegonga mwamba.
πππSi ulisema unaanza wewe?
Ooh! Sawa Mtani.Hapo nimecomment tu
Anza basi...πππ
Ooh! Sawa Mtani.