Mnabadilisha gia angani.kwamba?
Uwiii. Nyie tenaHawa vijana wa de Agosto mpak wanatunyongea wachezaji wetu..
Tucheze ball
Si ajabu mpaka dkk 90 zinaisha kauli zenu zikawa ni hizi hizi tu. 😂😂Aaaaaaaaaaa chama anakosa clear chance kabisa
Usiache kunitag Mkuu.Hawa kipindi cha kwanza lazima wale chumaa
Ngoja nikafanye mengine kwanza. Nitarudi Mkuu.Usitoke hapo ulipoo mkuu
Zitapigwa goli 3Hii game game mburu kenge mnashinda kweli au mnacheza shele