Mkuu nili comment kwa mashaka kumbe tupo wengi ,wapigwe tu aseee ππππHalafu wana bahati sana hawa viume. Si wanaenda kukutana na timu ya Ethiopia round ya pili?
Ila ikifungwa timu yako ya Simba au Yanga ndio unaumia. Ila timu yako ya Taifa aaah!Kila lakheri stars...
Japo mkipigwa sitoumia...
Maana hata tukifuzu, twaenda gawa pwenti za bure tu...
So lolote sawa tu...
Ila leo nimewabetia. Washinde tuu ila Wahabeshi wachukue notsi za kuwasaidia CAFCLMkuu nili comment kwa mashaka kumbe tupo wengi ,wapigwe tu aseee ππππ
Wamesema watarushaTbc wanarusha ?
Kiingilio tsh ngapi nataka niende..View attachment 3086836
Kila la Heri Taifa Stars.
Natamani leo kipasuke.Kichwa cha mwendawazimu
Kabisa mkuu, acha leo wachapike tu.Lolote liwakute Stars maana wakishinda utasikia tunamshukuru mama.
efu 40 tu.Kiingilio tsh ngapi nataka niende..
Niger hii hii ya adebayo wa Singida black stars!Niger win odd 4
Taifa stars gg odds 2.4
Libya win odds 1.9
Halafu mseme eti muhindi hagawi hela za bure πππ (ukiliwa usinilaumu)
Kivip mkuuTBC? Labda sio Mchina.