FT: AFCON 2025 Qualification | Tanzania 0-0 Ethiopia | Benjamin Mkapa Stadium | 04-09-2024

FT: AFCON 2025 Qualification | Tanzania 0-0 Ethiopia | Benjamin Mkapa Stadium | 04-09-2024

Hatimae defence imewekwa ya kueleweka
Tatizo la hii timu miaka ya karibuni imekuwa too defensive minded. Hii inafanya hata ushindi kupatikana inakuwa ngumu kwa sababu nafasi hazitengenezwi za kutosha
 
Tatizo la hii timu miaka ya karibuni imekuwa too defensive minded. Hii inafanya hata ushindi kupatikana inakuwa ngumu kwa sababu nafasi hazitengenezwi za kutosha
Umekuja uwanjani?
 
Shida hii timu inaanzaga kushtuka dakika za 70 huko mwanzo hapa watakosa magoli weee mwisho mwisho huko ndio wanachangamka. Kila la heri stars
 
Kwa kweli hamasa ndogo sana uwanja hauna watu .. hii mechi muhimu tena ya kwanza na ni nyumbani ushindi muhimu
 
Back
Top Bottom