FT: AFCON 2025 Qualification | Tanzania 0-0 Ethiopia | Benjamin Mkapa Stadium | 04-09-2024

FT: AFCON 2025 Qualification | Tanzania 0-0 Ethiopia | Benjamin Mkapa Stadium | 04-09-2024

Hahahahaha

Hivi inawezekanaje hawa Ethiopia kwao kuna vita ligi imesimama lakini wanacheza mpira unaoeleweka tofauti na sisi?

Hizi ni laana za masisiemu
Tanzania ligi yetu inabebwa na wachezaji wageni ila tuna average player wengi sana wazawa na ndio maana unakuta wachezaji wetu wengi soka la nje linawashinda
 
Hawa Ethiopia wachezaji waliopo humu wanachezea vilabu vipi mbona wananishangaza sana, wanaujua mpira tofauti na nilivyowachukulia
 
Back
Top Bottom