Utopologist
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 998
- 2,506
Seriously ukiangalia vile tu wanacheza na hali ya kisiasa nchini kwao inatia aibu.Tanzania ligi yetu inabebwa na wachezaji wageni ila tuna average player wengi sana wazawa na ndio maana unakuta wachezaji wetu wengi soka la nje linawashinda
Wachezaji wao wako na football IQ, wanauelewa mchezo, wachezaji wetu wanarukaruka.
Kwani Ethiopia wana academy za kimataifa kwao?
Inafikirisha