Ferguson united
Member
- Aug 20, 2024
- 68
- 146
Yani awa watoto wanadharau sana mtu analabwa chenga Hadi aibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mavambo
Kwaiyo mibichwa anayopiga tuombe munguTulieni.. Mzize wa Wydad atafunga soon
Bro uko wapiiiii 🤣🤣🤣🤣🤣Bro vipi?
Feisal leo kavaa chupi?
Ndio shida ya taifa kutokua na identify ya soka Toka chini wachezaji wamekulia mitaani kwenye makoni na kufunga vigoli vidogoTatizo la back pass bado linaendelea
Aingie kati hapoMavambo
anagalia boli wewe wacha kushabikia taifa stars...majamaa wanagonga pass mpaka imebidi nipate pepsi baridi hapaDuh hii nchi hii
Tupige mnada Kila mtu apate chakeDuh hii nchi hii