FT Wydad 2-1 MamelodyKumbuka waydad ameenda kwa madiba mara kazaa.. ila huwa anapata matokeo anayoyataka.. na mamelodi huwa anatolewa na waydad.
Nusu fainali ya caf champions league mwaka huu waydad alienda kufuzu kwa madiba..
That doesn't mean it's going to happen again.Kumbuka waydad ameenda kwa madiba mara kazaa.. ila huwa anapata matokeo anayoyataka.. na mamelodi huwa anatolewa na waydad.
Nusu fainali ya caf champions league mwaka huu waydad alienda kufuzu kwa madiba..
Mameolodi aliruhusu goli 2 za waydad kwa madiba
Shit happens. Ila yeye mwenyewe anajua kazi atakayoenda kukutana nayo kule. Hamna mwarabu asiyemhanya Mamelodi esp akiwa nyumbani.Kumbuka waydad ameenda kwa madiba mara kazaa.. ila huwa anapata matokeo anayoyataka.. na mamelodi huwa anatolewa na waydad.
Nusu fainali ya caf champions league mwaka huu waydad alienda kufuzu kwa madiba..
Mameolodi aliruhusu goli 2 za waydad kwa madiba
Sure.That doesn't mean it's going to happen again.
Shit happens. Ila yeye mwenyewe anajua kazi atakayoenda kukutana nayo kule. Hamna mwarabu asiyemhanya Mamelodi esp akiwa nyumbani.
Historia haimaanishi ndo milele amina mzee. Mbona watu wanasema Mamelodi ni timu ya kuishia robo na mbona yupo hapa fainali?Lini umeahi ona ama kusikia mamelodi kamtoa waydad casablanca kwenye mashindano yoyote ?
Historia haimaanishi ndo milele amina mzee. Mbona watu wanasema Mamelodi ni timu ya kuishia robo na mbona yupo hapa fainali?
Babu, kuna mahali nimesema amewahi kumtoa?Fainali ya mashindano mapya ? HILI NI BONANZA LA MECHI 6. TIMU ZIMEALIKWA TU
SEMA LINI MAMELODI AMEWAI MTOA WYDAD? USIKIMBIE SWALI
Ubishi wako ni wakitoto nikama ile ya kuwa UEFA hawachukui mfululizo ni mwiko ila Madrid akavunja huo mwikoFainali ya mashindano mapya ? HILI NI BONANZA LA MECHI 6. TIMU ZIMEALIKWA TU
SEMA LINI MAMELODI AMEWAI MTOA WYDAD? USIKIMBIE SWALI
Ubishi wako ni wakitoto nikama ile ya kuwa UEFA hawachukui mfululizo ni mwiko ila Madrid akavunja huo mwiko
anhaa ile vizee vya simba vimefungwa GOLI TANOWakuu nilikuwa pori ndio naingia town. Derby imeishaje vile? Samahani kwa usumbufu
Bado hujasemaAirtel mtandao unazingua na ndio naotumia kwenye internet
Unataka kusema unaziona hamsa nyingine?hivi hawa waidadi si ndo wako kundi moja na vizee vya simba?
At least wanajitahidi mkuu nina imani watapinduaHii Wydad ya safari hii na hii SIMBA ya leo 💆...
MAMELODI KUPINDUA MATOKEO NI KAZI KUBWA,,, NI NDUGU MOJA NA SIMBA KWA KUPATA MAGOLI YA MUNGU SAIDIA KWA SASA TOKA SHALULILE AUGUE...