Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mazembe imeshuka sanaHuyu Mazembe wa leo sio yule wa mwaka jana
Kateni rufaa CAFHard luck kwa simba tumepangiwa mfupa mgumu mnoo kwenye AFL ( probably mabingwa watarajiwa), laiti kama tungepangiwa hawa Esperance maji wangeita mma
Wameanza kujipata mkuu, ile ya msimu uliopita ilikua hohe hahe ndo maana hadi ndugu zetu yanga akajipigiaMazembe imeshuka sana
AaahaaaaWameanza kujipata mkuu, ile ya msimu uliopita ilikua hohe hahe ndo maana hadi ndugu zetu yanga akajipigia
Hii hoja ni ya kijinga sana.Timu kutoka nje ya nchi ina tumia uwanja wetu kuchezea super league alafu kuna mijitu ina jiita mikubwa ipo tu inaangalia kwenye TV
Umakini umekosekana kidogo tuWamesawazisha Esperence