FT: AFL: TP Mazembe 1-0 Esperence De Tunis | Stadium: Benjamín Mkapa | 22.10.2023

FT: AFL: TP Mazembe 1-0 Esperence De Tunis | Stadium: Benjamín Mkapa | 22.10.2023

Mechi iko live Rwanda Tv ..K24..

Safi sana..

Tusio na Azam tumetulia zetu maghetoni...🥂🍹🥂🍺🍺🍺
Nashukuru mkuu

Nipo na DStv na sikijua kama wanaonyesha

Asanbteni saanaa
 
Nimewa include kumbuka hii game haituhusu kabisa lakini watu wamejaa
Ukiangalia nchi za wenzetu kwa mechi zisizowahusu huwa hazijai kabisa
Angalau Algeria wao wanajitahidi
Naunga mkono hoja yako.

Pamoja na hayo tuna uhusiano mzuri na DR Congo...
 
Mazembe anajilia my wake
FB_IMG_16979903552768639.jpg
 
Esperence wameingia kwa kasi
 
Koma wanapata hapa Esperence
 
Back
Top Bottom