FT: AFL: TP Mazembe 1-0 Esperence De Tunis | Stadium: Benjamín Mkapa | 22.10.2023

FT: AFL: TP Mazembe 1-0 Esperence De Tunis | Stadium: Benjamín Mkapa | 22.10.2023

Hawa TP mazembe hovyo sana hivi hawakumuona mnyama namna alivyokuwa akitandaza soka safi na la kuvutia ni nini hiki, hongera sana mnyama kwa kuiheshimisha super league
 
Kifupi Tanzania tunapenda sana Mpira
Hii ni clear statement kwenda Caf na Fifa hakuna nchi afrika narudia haipo hata kama ni Bure ingejaza hivi
Mind you wengi hapo wametumia zaidi ya 5000 kufika ground
 
Hii ni clear statement kwenda Caf na Fifa hakuna nchi afrika narudia haipo hata kama ni Bure ingejaza hivi
Mind you wengi hapo wametumia zaidi ya 5000 kufika ground
Mkuu nchi za kaskazini mwa Africa ume wa-include
 
Mechi iko live Rwanda Tv ..K24..

Safi sana..

Tusio na Azam tumetulia zetu maghetoni...🥂🍹🥂🍺🍺🍺
 
Watanzanzania tunapenda soccer.. shida umasikini.

Utafiti umetimia.
 
Back
Top Bottom