FT: AFL: TP Mazembe 1-0 Esperence De Tunis | Stadium: Benjamín Mkapa | 22.10.2023

FT: AFL: TP Mazembe 1-0 Esperence De Tunis | Stadium: Benjamín Mkapa | 22.10.2023

Wi-fi ya hapa ni dusko tu yani sekunde mbili unaachiwa sekunde ya tatu wanakata, kuirudisha tena ni mpaka nusu saa
 
Mchezaji wa TP yupo chini, anapatiwa huduma.

Alichezewa foul na yule yule Captain wa Esperance
 
Daaah umepigwa muwa wakwenda kwenye lango la Esperence sema mpira umeenda nje ya lango
 
Back
Top Bottom