Kilimbatz
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 4,331
- 5,865
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
timu kubwa hushiriki kwa uwezo wake sio kuchaguliwa kama viti maalumuNi ukweli mkuu naona mechi yenu ya super league mmepangwa na Azam kesho
Vitu maalum kama Vicky Kamatatimu kubwa hushiriki kwa uwezo wake sio kuchaguliwa kama viti maalumu
Sasa nyie wenye uwezo mbona hampo ?timu kubwa hushiriki kwa uwezo wake sio kuchaguliwa kama viti maalumu
waulize TFF watakupa takwimu ya mahudhurio ya watu wa mpira achana na hawa wachawi wanao washa moto, wanao fukia kichwa cha mtu uwanjaniHizo Takwimu unazo wewe peke yako na vyura wenzio
ndo ushangae wewe enyimba na tp wapo ushangaiSasa nyie wenye uwezo mbona hampo ?
hasa washabiki wa yanga na tunaujuaKifupi Tanzania tunapenda sana Mpira
MKuu wekeni picha na siye tuoneKifupi Tanzania tunapenda sana Mpira
Caf sio wajinga mkuu, huwezi kuchukua miaka 25 kuingia makundi tu alafu wakupange, aibu ndogo ndogo kama hizo Caf wameamua kuziepukando ushangae wewe enyimba na tp wapo ushangai
Picha tuoneUwanja umejaa sana kwa kweli
Bongo nyoso aiseeeeeLive Leo Kutoka Lupaso
Bongo nimewanyooshea mikono aiseeeSlide traclkling matata hiyo
Network iko chini hapa mkuu.Picha tuone