Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
- Thread starter
- #61
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu ni wengi mkuu ila sio full houseBongo nimewanyooshea mikono aiseee
Wamejaza full house utafikiri Mazembe yupo kwake DRC
Kibonde hawezi kukutana na kibondeHawa Esperance wangekutana na Simba maji wangeita mma
Wangetoa taarifa mapema ya kuhamisha mechi kuja bongo pangetema leoNa hapo kuna wengine hawana taarifa kuwa mechi ni bure
Network iko chini hapa mkuu.
picha una upload dakika 10.
Kwanini unapenda kujiabisha......Kibonde hawezi kukutana na kibonde
Kibonde ni lazima akutane na mkubwa
Simba asingeweza pangwa na kibonde mwenzie
Pamoja sana Mwamba...
kweli mkuu Caf wana akili sana, huwezi fika fainali shirikisho ukamsumbua bingwa aliye mchapa al ahly supercup uende upangwe na watu wanao ishia robo ni matumizi mabaya ya akiliCaf sio wajinga mkuu, huwezi kuchukua miaka 25 kuingia makundi tu alafu wakupange, aibu ndogo ndogo kama hizo Caf wameamua kuziepuka
Hii ni factKwanini unapenda kujiabisha......
Kijifainali cha Confederation umeanza kumuita Esperance kibonde?
Wanao ishia robo kwenye mashindano ambayo imekuchukua miaka karibia 30 kufika angalau makundi tukweli mkuu Caf wana akili sana, huwezi fika fainali shirikisho ukamsumbua bingwa aliye mchapa al ahly supercup uende upangwe na watu wanao ishia robo ni matumizi mabaya ya akili
umenena vemaKibonde hawezi kukutana na kibonde
Kibonde ni lazima akutane na mkubwa
Simba asingeweza pangwa na kibonde mwenzie
tena wamefika robo kwa corona effectWanao ishia robo kwenye mashindano ambayo imekuchukua miaka karibia 30 kufika angalau makundi tu
Watazijutia wakienda TunisiaTp Mazembe wanakosa nafasi ya wazi hapa