FT: AFL: TP Mazembe 1-0 Esperence De Tunis | Stadium: Benjamín Mkapa | 22.10.2023

FT: AFL: TP Mazembe 1-0 Esperence De Tunis | Stadium: Benjamín Mkapa | 22.10.2023

Kwa heshima ya super league, ingekuwa busara zaidi mechi ya Uto na azam ingechezwa chamazi au uhuru mpaka pale mashindano hayo yatakapo tamatika
 
Tp Mazembe wanafanya shambulizi hapa lakini kipa wa Esperence anaokoa na kusababisha kona
 
75'

Kona inaoigwa

Wanaokoa na kuzima shambulizi na mpira unakuwa wakurusha kuelekea Esperence
 
Haka kakipa ka Esperance ni katoto sana..

Ana miaka mingapi?
 
Mazembe wajiangalie sana
 
Umepigwa mpira mkubwa umeenda nje na kuwa goal kick
 
Back
Top Bottom