Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wana Yanga wote bila shaka wapo,wanapenda vya kwa SadalaNa hapo kuna wengine hawana taarifa kuwa mechi ni bure
Sema hii reporting ya kibabiloni sana🤣🤣🤣Hatari paleeeee aaah kipa kadaka
AahaaaaaKwa heshima ya super league, ingekuwa busara zaidi mechi ya Uto na azam ingechezwa chamazi au uhuru mpaka pale mashindano hayo yatakapo tamatika
Nipo Rwanda kuna jamaa hawa amini kama hapo ni bongoNi kweli mkuu unaweza kudhani sio bongo
Group lamoto sana mazembe nao sio kinyongeWako Group moja na Mamelody na Pyramids