Your Majesty
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 3,242
- 5,345
Mnyama mkali Simba Sc tafuna hao De Agosto.
SIMBA NGUVU MOJA
SIMBA NGUVU MOJA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuyumba ugenini sio sawa na wao walivyoyumba nyumbani, hakuna la kujifariji hapo.Kuna watu wamekalia tako moja wanasubiri tuyumbe wajifariji
Akae nyuma kwa lengo la kuusoma mchezo dakika za mwanza tu, ila akienda na total mentality ya kukaa nyuma kama unavyoshauri, ataoga nyingi mno.Mechi ngumu sana hii nibora simba akae nyuma isije kutokea la kutokea
Bila kusahau Mbuni FC.Simba tumejiandaa mechi za kimataifa..tulipoenda Misri na huko Sudan, tulikuwa tunajiandaa na michuano hii. Wakati huo utopolo alikuwa Morogoro, baadae Kigamboni anacheza na Friends Rangers na Mlandege
Na uwezekano wa Yanga kushinda ugenini uko vipi?Uwezekano wa Simba kushinda ugenini ni mdogo, sana sana atapata goal moja
Aiseeeh sijui tu[emoji23]Simba tunajiamini. Tukifungwa tutaficha wapi sura zetu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sio mdogo, hamna kabisaUwezekano wa Simba kushinda ugenini ni mdogo, sana sana atapata goal moja
🤣🤣🤣Aiseeh moyo haujatulia kabisa, hapa nasubiri kuona selection ya kikosi labda nitakuwa na amani.
Sio mdogo, hamna kabisa
Bila glycerin leo.Chuki na roho mbaya zitawaua,pambaneni na timu lenu bovu
naona bora angeanza sakho badala ya kibu ili awakimbize wasiwe wanashuka sana.
Game tough kakaSimba tunajiamini. Tukifungwa tutaficha wapi sura zetu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
kumbe Yanga na Al Hilak ni 2-1View attachment 2381740