FT: Agosto 1-3 Simba | CAF Champions League | Estádio 11 de Novembro | 9-10-22

FT: Agosto 1-3 Simba | CAF Champions League | Estádio 11 de Novembro | 9-10-22

SIMBA INACHEZA LEO TANZANIA NA AFRIKA NZIMA MPKA CAF WANAFURAHA[emoji23][emoji23][emoji91][emoji91][emoji91][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji881][emoji881][emoji881][emoji881][emoji881]
 
Jana wavulana walishindwa kazi....

Leo ni zamu ya wanaume kazini..

Mungu Ibariki Simba...
Mungu Tubariki WanaLunyasi...
Mungu Ibariki Tanzania..

#NguvuMoja...
Halafu nimeshangaa page ya AL HILAL wanawaita Youth [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Mzamiru naona ameanza kutokana na muendelezo wake mzuri aliokuwa nao kwenye mechi za mwishoni, Okwa hata sub hayupo lakini hiyo sio issue

Nakubaliana na Kikosi cha leo kwa 75% japo huyu Israh simuamini sana ila ndio hivyo hakuna nama maana replacement yake ndio majeruhi
 
Hivi Mohammed Outtara atamaliza msimu kweli?
 
Mzamiru naona ameanza kutokana na muendelezo wake mzuri aliokuwa nao kwenye mechi za mwishoni, Okwa hata sub hayupo lakini hiyo sio issue

Nakubaliana na Kikosi cha leo kwa 75% japo huyu Israh simuamini sana ila ndio hivyo hakuna nama maana replacement yake ndio majeruhi
Mwenda atapata backup ya Inonga na Onyango
 
Back
Top Bottom