FT: Agosto 1-3 Simba | CAF Champions League | Estádio 11 de Novembro | 9-10-22

FT: Agosto 1-3 Simba | CAF Champions League | Estádio 11 de Novembro | 9-10-22

Sema kwa jinsi ambavyo hatujui kuamusha ari kwa watumishi wa kitz, utakuta Mgunda analazimishwa asainishwe mkataba wa 2M kwa mwezi kwasababu ni mbongo wakati wale wazungu walikuwa wanakula 25M+

Kama tuliweza kuwalipa wazungu mishahara mikubwa vile kwanini huyu Mgunda asipewe hata 10M mwezi (ikitokea kasaini) ili kumuongezea ari? Muda mwingine maslahi mazuri hufanya watu wavuje jasho na kuumiza akili ili kulinda ugali.

CONTEXT:

Ikitokea mmefikia uamuzi wa kumpa mkataba, basi athaminiwe kwa kazi yake na sio kwa Utanzania wake. Mpeni maslahi makubwa kama mnavuowapa wazungu ambao hawana lolote la maana.
Naunga Mkono Hoja!
 
Back
Top Bottom