Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amemtoa okra ambaye ni presser ila big up 0-2Sijui anachelewa nini au ndio tuseme aliyeko nje kwa mtazamo wake ni mbovu zaidi sijui?
Simba yule wa Lilongwe ameonekana tena huko Angola na ameng'ata tena watu wawili tena.Kuna nini huko aiseeeh?
Naunga Mkono Hoja!Sema kwa jinsi ambavyo hatujui kuamusha ari kwa watumishi wa kitz, utakuta Mgunda analazimishwa asainishwe mkataba wa 2M kwa mwezi kwasababu ni mbongo wakati wale wazungu walikuwa wanakula 25M+
Kama tuliweza kuwalipa wazungu mishahara mikubwa vile kwanini huyu Mgunda asipewe hata 10M mwezi (ikitokea kasaini) ili kumuongezea ari? Muda mwingine maslahi mazuri hufanya watu wavuje jasho na kuumiza akili ili kulinda ugali.
CONTEXT:
Ikitokea mmefikia uamuzi wa kumpa mkataba, basi athaminiwe kwa kazi yake na sio kwa Utanzania wake. Mpeni maslahi makubwa kama mnavuowapa wazungu ambao hawana lolote la maana.