FT: Agosto 1-3 Simba | CAF Champions League | Estádio 11 de Novembro | 9-10-22

Israel ambaye nilikosa imani naye leo kani prove wrong

1665332660738.png
 
Sema kwa jinsi ambavyo hatujui kuamusha ari kwa watumishi wa kitz, utakuta Mgunda analazimishwa asainishwe mkataba wa 2M kwa mwezi kwasababu ni mbongo wakati wale wazungu walikuwa wanakula 25M+

Kama tuliweza kuwalipa wazungu mishahara mikubwa vile kwanini huyu Mgunda asipewe hata 10M mwezi (ikitokea kasaini) ili kumuongezea ari? Muda mwingine maslahi mazuri hufanya watu wavuje jasho na kuumiza akili ili kulinda ugali.

CONTEXT:

Ikitokea mmefikia uamuzi wa kumpa mkataba, basi athaminiwe kwa kazi yake na sio kwa Utanzania wake. Mpeni maslahi makubwa kama mnavuowapa wazungu ambao hawana lolote la maana.
Umeongea kitu cha msingi sana
 
Mkuu hili tulijadili kwa uzuri baadae kama mada kabisa
 
Bocco anaingia Kibu anatoka

Hayo yote yanafanyika dakika ya
1665332815062.png
 
Mara nyingi timu zinazomilikiwa na jeshi hazina maajabu ktk mpira wa cafcl ni sawa tu Ruvu shooting na jkt Tanzania ndio Kama hyo agusto haziana maajabu siyo timu za kutisha Ni wazi Simba itawapiga vibaya

Hongera wanna lunyasi ,yanga imenikeraa mno na kunisababishia chuki kutawal moyoni

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Wale mashabaki waliokua wakisema "atumtaki Barbara atumataki Matola Veron"woote nyinyi hamtaona ufalme wa mungu mpaka mtubu.
 
Back
Top Bottom