Pool Table
JF-Expert Member
- Jan 30, 2020
- 1,680
- 2,889
Hii match unanipa wakati mgumu Sana kuangalia na kusoma comment hii ndo match Bora ya caf had sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wee Chama yupo vizuri. Huwezi mfananisha na Aziz
Ulikuwa wapi madam 😊Woyooooi
Hawezi kuondoka huyu mtu, alishapewa vyote alivyotaka kwenye mkataba.Nahisi wanasimba wote sasa tukatae onyango kuondoka
Afadhali..amerudisha😂Dah.... January kakata umeme!😖
Hahhahahah nilikuwa nakuja na kuondokaHilo nalijua
Ulikuwa wapi madam [emoji4]
Umeongea kitu cha msingi sanaSema kwa jinsi ambavyo hatujui kuamusha ari kwa watumishi wa kitz, utakuta Mgunda analazimishwa asainishwe mkataba wa 2M kwa mwezi kwasababu ni mbongo wakati wale wazungu walikuwa wanakula 25M+
Kama tuliweza kuwalipa wazungu mishahara mikubwa vile kwanini huyu Mgunda asipewe hata 10M mwezi (ikitokea kasaini) ili kumuongezea ari? Muda mwingine maslahi mazuri hufanya watu wavuje jasho na kuumiza akili ili kulinda ugali.
CONTEXT:
Ikitokea mmefikia uamuzi wa kumpa mkataba, basi athaminiwe kwa kazi yake na sio kwa Utanzania wake. Mpeni maslahi makubwa kama mnavuowapa wazungu ambao hawana lolote la maana.
[emoji23][emoji23][emoji23]Naomba namba ya mgunda nimpigie ili nimkumbushe asisubili tufungwe ndipo atoe kibubu
Mkuu hili tulijadili kwa uzuri baadae kama mada kabisaSema kwa jinsi ambavyo hatujui kuamusha ari kwa watumishi wa kitz, utakuta Mgunda analazimishwa asainishwe mkataba wa 2M kwa mwezi kwasababu ni mbongo wakati wale wazungu walikuwa wanakula 25M+
Kama tuliweza kuwalipa wazungu mishahara mikubwa vile kwanini huyu Mgunda asipewe hata 10M mwezi (ikitokea kasaini) ili kumuongezea ari? Muda mwingine maslahi mazuri hufanya watu wavuje jasho na kuumiza akili ili kulinda ugali.
CONTEXT:
Ikitokea mmefikia uamuzi wa kumpa mkataba, basi athaminiwe kwa kazi yake na sio kwa Utanzania wake. Mpeni maslahi makubwa kama mnavuowapa wazungu ambao hawana lolote la maana.
Achana nao watu Huwa hata hawangalii mpira wanalopoka lopoka tu Sasa nin maana ya AZAM kuwawekea ZBC 2Sio hawa ,wale ni PETRO DE LUANDA jana wamempasua 3-0 Cape town city away.