FT: Agosto 1-3 Simba | CAF Champions League | Estádio 11 de Novembro | 9-10-22

FT: Agosto 1-3 Simba | CAF Champions League | Estádio 11 de Novembro | 9-10-22

Huna baya wakupe tu Mkataba asante kwa kutuheshimisha[emoji1545][emoji1545]
 

Attachments

  • IMG_1740.jpg
    IMG_1740.jpg
    104.1 KB · Views: 1
Dear Yanga tunavyosema Simba ni kubwa huwa tunamaanisha na sio kwamba tunawa dhihaki

Tulimuheshimu mpinzani wala hakutum treat kama kibonde kama ambavyo nyinyi wenzetu mlijipa confidence iliyopitiliza kiasi cha kuwaaminisha mashabiki mnaenda kuwapiga kama ngoma
 
Back
Top Bottom