kipanta
JF-Expert Member
- Sep 2, 2014
- 925
- 1,086
EndeleaChama wa mechi ndogo..!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
EndeleaChama wa mechi ndogo..!!
humu mwenyekiti wa Uto Ni GENTAMYCIME ,Sasa tumuulize barba abakie au aondoke, na Mo nae vipi, maana yeye kutwa anawasakama hao na Matola na kuiponda Simba kila uchao huyu tahiraHiii ni balaa aisee leo humu humuoni mwana uto hahaaaa. Labda Glenn ambaye hataki stress anashabikia kizungu
Hasira zote zitaishia kwakoLabda awe Simba, kama ni Utopolo utaumia ndugu!
Labda wanalogwa wakiwa hapa. Maana Wabongo kwa ulozi ni komeshaKinachonishangaza Simba ya Kimataifa inacheza mpira wa tofauti sana kuliko wanavyocheza hapa kwenye Ligi yetu.
Ah pale taifa ndio mawindo mazuri warembo wakifurahi kupata ushindinwee unamwaga biantuu unasubiria kujiokotea 3some🤣🤣🤣🤣Hahahaha warembo tena kwahiyo ww mzabzab unawaza kuwamendea warembo uwanjani hahahah
FT: Cd de Agosto 2-6 Namungo FCMtaishia hivyo hivyo [emoji23]
FT: Cd de Agosto 2-6 Namungo FCAlooo simba ni nyoko
Ila ww ndugu yangu nimekushindwa,Simba haina kina mama J wanawake wake wanajielewa bwanaAh pale taifa ndio mawindo mazuri warembo wakifurahi kupata ushindinwee unamwaga biantuu unasubiria kujiokotea 3some🤣🤣🤣🤣
FT: Cd de Agosto 2-6 Namungo FC😂😂 wale mnao teseka, mnateseka mkiwa wapii?
Njooni muone wakubwa tunavyo cheza kikubwa.
Timu kubwa matokeo makubwa!.
Ili uwe mshabiki wa YANGA lazima uwe na sifa nne.Hasira zote zitaishia kwako
Unatuchafulia uzi ww utopwinyooo. ALHAIL 0-Simba 3FT: Cd de Agosto 2-6 Namungo FC
FT: Cd de Agosto 2-6 Namungo FCWanasimba tunaomba radhi kwa ushindi mwembamba.
Ngoja nikudhihirishie kuwa wapo...tulia nitakutumia clip nikwa nawachakata warembo wa simbaIla ww ndugu yangu nimekushindwa,Simba haina kina mama J wanawake wake wanajielewa bwana
Si vyura? ujue kwanini waliitwa vyura yani wana kelele balaaIli uwe mshabiki wa YANGA lazima uwe na sifa nne.
1: Uwe unaongea sana kwa makelele
2: uwe na roho ya kwanini(hasadi)
3: Uwe unajua kulialia ovyo
4: uwe na tabia ya kulalamika, kutoa visingizio, kulaumu na kutokubari ukweli.